National service with a difference; Compulsory National Service is coming back

Sasa Chama na Serikali Tawala imeona kuwa ilikuwa sio Vizuri kuvunja Form Six kujiunga na JKT? au ni Suala Tofauti??? Naomba Msaada...

Implementation of the ruling party`s campaign pledge to recruit youths who complete form six in National Service programmes is expected to commence in the next financial year (2011-12).

Defence and National Service minister Dr. Hussein Mwinyi made the revelation yesterday in an interview with our sister newpaper, Nipashe.

Speaking shortly after he had graced an opening of the ministry workers' council meeting, the minister said preparations had started for implementation of the plan, which would see form six students joining National Service immediately after completing their studies.

The ministry, he said, was now waiting for the disbursement of funds so that implementation of the plan could start as spelt out in the ruling party's election manifesto.

The long-term project, according to the minister, required money for putting up some of the necessary facilities for youths when they report to National Service camps.

He mentioned some of basic things for the programme as enhancing access to working tools, improving infrastructure and training programmes, including entrepreneurship programmes for youths expected to join National Service.

Meanwhile, the minister asked the workers' council to shun favouritism and promote unity and togetherness in spearheading development and enhancing quality service delivery to the public.

"Unity is an important ingredient in the workplace.It's an important pillar for improving efficiency and productivity in the workplace. The council must stand out a leader directing workers to the right path - uniting them and encouraging them to be committed, devoted and determined in discharging public duties and responsibilities," he said.

For his part, the council chairman, Andrew Nyumayo, said they met in order to digest best practices and ways to build, strengthen, develop and maintain gains already registered by the ministry
 
Sasa Chama na Serikali Tawala imeona kuwa ilikuwa sio Vizuri kuvunja Form Six kujiunga na JKT? au ni Suala Tofauti??? Naomba Msaada...

Implementation of the ruling party`s campaign pledge to recruit youths who complete form six in National Service programmes is expected to commence in the next financial year (2011-12).

Defence and National Service minister Dr. Hussein Mwinyi made the revelation yesterday in an interview with our sister newpaper, Nipashe.

Speaking shortly after he had graced an opening of the ministry workers' council meeting, the minister said preparations had started for implementation of the plan, which would see form six students joining National Service immediately after completing their studies.

The ministry, he said, was now waiting for the disbursement of funds so that implementation of the plan could start as spelt out in the ruling party's election manifesto.

The long-term project, according to the minister, required money for putting up some of the necessary facilities for youths when they report to National Service camps.

He mentioned some of basic things for the programme as enhancing access to working tools, improving infrastructure and training programmes, including entrepreneurship programmes for youths expected to join National Service.
Meanwhile, the minister asked the workers' council to shun favouritism and promote unity and togetherness in spearheading development and enhancing quality service delivery to the public.

Kama wanarudisha JKT kwa kigezo cha Siasa za CCM basi tayari wamefeli kwani % kubwa ya kizazi kipya kiko against na CCM, kwanza wangepaswa kujiuliza ni kwa nini morale ya JKT ilishuka na kutoa miezi sita badala ya miezi 12?

Je kuna sheria rasmi ambayo ipo kikatiba kwamba mtoto akimaliza form six ni lazima apitie JKT? Nani leo atakubali aende akalime kule Makutupora, Ruvu, Magamba, au Mafinga halafu kitakachozalishwa apewe Brigedia bure kama tulivyokuwa tunafanyiwa na akina Makame Ruvu JKT? Leo sio jana na wajaribu kwenda na wakati,

Mie naona ni siasa zaidi kwani serikali yetu hivi sasa hawana senti yoyote ktk akiba kwani zote wamemaliza kwenye uchaguzi je watatoa wapi hizo za kuanzishia JKT?
 
tutegemee maambukizo ya ukimwi kuongezeka nadhani hii kitu haina tija ni kuwaongezea watu umrina kuwapotezea mda wao, kwani walivyokuwa au wale waluiopitia jkt si ndio mafisadi wa sasa hivi? i dont see anyy reason for this
 
JKT sio Tz peke yake, jaribu kufuatilia hata mataifa yalipiga hatua wan utaratibu huo na raia wao wanaona fahari kuhesabiwa kuwa walipitia NAtional Service!

Kwanza; tangia mwanzo, haikuwa sahihi kuondoa utarabu huo miaka ya '90 kwa kisingizio cha uchumi bali wangefanya juhudi kuboresha utaratibu ili mapungufu yapunguzwe.

Zungumza na wazazi wenye vijana wa umri wa kwenda vyuoni; wengi wao watakubaliana nami kuwa JKT ingekuwepo ingesaidia sana.
 
Labda Serikali ya CCM inaona sasa matabaka yameongezeka kwa walionavyo na wasionavyo; pia tunabaguana sana matajiri, dini, ukabila

Wakati wa JKT na GVT Boarding School tulikuwa tunaishi sio kama sasa watoto wa matajiri wanasoma private school hata kama wamechaguliwa shule za serikali na kuenda kusoma nje no University za hapa nchini
 
Sikubaliani na wewe kuwa kunakupoteza mda, mda baada ya matokeo wanafunzi wengi wamekuwa wakiutumia very iddle , na wengi huwa hawana la kufanya . hivyo kujiunga na JKT walau miezi 2-3 sioni kama kuna tatizo lolote klatika hilo.

Tuache kufanya siasa katika kila kitu hata vitu vya muhimu.Kuhusu maambikizi yanaweza kutokea popote pale walipo especially wakiwa iddle.

sasa huko watakuwa busy mda wote, watapata mda wapi wa kufikiria huo upuuzi?
tutegemee maambukizo ya ukimwi kuongezeka nadhani hii kitu haina tija ni kuwaongezea watu umrina kuwapotezea mda wao, kwani walivyokuwa au wale waluiopitia jkt si ndio mafisadi wa sasa hivi? i dont see anyy reason for this
 
tutegemee maambukizo ya ukimwi kuongezeka nadhani hii kitu haina tija ni kuwaongezea watu umrina kuwapotezea mda wao, kwani walivyokuwa au wale waluiopitia jkt si ndio mafisadi wa sasa hivi? i dont see anyy reason for this

Mkuu Vuga,
Inaelekea wewe ni kijana wa siku hizi. Waulizie wazee waliopitia huko, shughuli nzito kiasi kwamba wengi hawapati muda wa kufikiria mambo ya hovyohovyo. Na kwa taarifa yako, zaidi ya 75% hutoka huko bila kufanya ngono na mtu yoyote.

Huo ukimwi mbona umetupukutisha katika hii miaka 18 ambayo JKT haikuwepo? ngono-zembe hutokana na kukosa kazi ya kufanya na huko JKT hakuna muda wa kukaa bure!
 
Kama nia ni kurudisha umoja wa kitaifa wamejipotosha, huo umoja utatoka wapi kwa programme ya miezi!

Umoja ungeanzia kwa kuimarisha public schools and colleges ambazo sasa zinazidi kudidimizwa na kupoteza umaarufu, watu miaka yote wanasoma shule za AINA na VIWANGO tofauti then ukawaweke few months kambi moja unity haitapatikana hata kidogo, na inatusaidia nini kwenda kulimisha watu kwa majembe ya mikono katika karne hii ya 21.

Just wastage of time and resources, maambukizi ya ukimwi siyo miongoni mwa makuruta bali toka kwa maafande kwenda kwa makuruta, kwani maafande wao wanafanya kazi gani ya kuchosha mpaka wasiwe na uhanga wa ngono!nchi nyingine kuna National Service lakini siyo hii ya hapa Bongo ya jembe tu, zaidi ya brain washing/indoctrination attempt,
 
Ni wazo zuri ila hofu yangu ni kuwa wasije kuchakachua huo mchakato wenyewe ifike mahali JKT iwe kwa ajili ya watoto wa maskini na wakina R1s wasiende!
 
watumie hizo hela kuboresha mafunzo ya polisi.

Hofu yangu: National service ipo nchi nyingi mfano ni iran matajiri hawataki watoto wao wapate suruba hivyo wakifika miaka 15/16 wanawahamishia nje hlf baadae wanakuja kununua cheti. Tz yetu tunaifahamu kwa rushwa ni kama mmoja alivyosema hapo juu watasoma watoto wa shule za kata
 
..mimi nimepitia JKT baada ya form six.

..napinga wazo la kuirudisha JKT wakati huu.

..itakuwa ni kupoteza muda tu wanafunzi na matumizi mabaya ya mapato ya serikali.

..badala ya kwenda kuwalimisha miraba wahitimu wa form 6, bora taifa lingeanzisha utaratibu wa wahitimu wa chuo kikuu kutumia jamii[national service] kwa namna moja au nyingine.

..tuangalie utaratibu wa national service ulioko Ghana. huu tunaojaribu kuufufua umepitwa na wakati.
 
Pesa za kufund hii miradi isiyo na kichwa wala miguu inatoka wapi? Kwa nini wanataka kuallocate fund kwenye dead end plan? Hiyo veza watakayo tumia kwa miaka 10 nadhani inaweza kabisa kujenga Hospital kadhaa na kutrain waganga na wauguzi watakao weza kusopport hizo facilite.

Pili hakuna sehemu yoyote kwenye katiba inayozungumzia Wananchi lazima wajiunge na JK wakimaliza kidato cha sita. So, hii ni njia nyingine ya kuchezea pesa za walipa kodi. Hakuna justification yoyote ya ni kwanini kidato cha sita wajiunge na Jeshi.
 
Sikubaliani na wewe kuwa kunakupoteza mda, mda baada ya matokeo wanafunzi wengi wamekuwa wakiutumia very iddle, na wengi huwa hawana la kufanya hivyo kujiunga na JKT walau miezi 2-3 sioni kama kuna tatizo lolote klatika hilo.

Tuache kufanya siasa katika kila kitu hata vitu vya muhimu.Kuhusu maambikizi yanaweza kutokea popote pale walipo especially wakiwa iddle.

sasa huko watakuwa busy mda wote, watapata mda wapi wa kufikiria huo upuuzi?

Hii siyo siasa, maabukizi unayoyasema, yameshika kasi sana ktk majeshi. Hilo linafahamika. Takwimu zake zimekuwa zikifichwa na badala yake TACAIDS hutangaza idadi ya waalimu tu!

Vijana wa Kike toka familia maskini wataumia maana ndo hao tu watakaolazimishwa kuwa ktk makambi na kulimishwa kama punda, wakishindwa watoe miili yao. Kwa udhaifu wa serikali kama hii hakuna mtoto wa mbunge atakayekuwa kambini akilima.

Bahati mbaya kabisa JKT nzima ni kilimo. Ndo kazi pekee wanayoandaa kuwapa vijana. Kilimo kinasaidia kuleta mshikamano?

Sasa hivi JKT inajiandaa kuwa na mashamba ya mbegu. hawana jipya.
 
By Editor

15th July 2011

Compulsory National Service is coming back. According to Defence and National Service minister, Dr Hussein Mwinyi, registration would start in the coming financial year.

The arrangement is not unique to Tanzania, nor does it reflect an ideological leaning, rather it is a way for the nation to build unique values among its people.

It is practised in developed and developing countries, a reflection of the importance that nations attach to it.

The revival of the programme follows public outcry who appreciated the positive work done in inculcating into the country’s youths the values of patriotism, solidarity and equality as alluded to by the minister in his speech.

He said the government recognised the importance of National Service as a vital institution in maintaining national unity, especially in providing training and fostering patriotism, solidarity, equality and physical fitness.

The youths, fresh from school, joining the camps constituted dependable production brigades, not to mention that they were also a reserve army, ready to take arms to defend the nation in times of need.

And this they did, when Uganda’s dictator Idi Amin invaded the country in the late 1970s, successfully beating back the enemy and helping to rebuild the country after the ravages of the war.

Many of those who served in the compulsory programme, are still wondering why it collapsed, given the huge labour force it commanded in the form of the young, energetic recruits joining the camps every year.

It is clear that something went wrong at the institutional and management level, leading to the collapse of the programme.

It will be recalled that the camps engaged in production activities, such as farming, livestock keeping, building brigades and furniture making to name but a few.

They were a major productive force in the nation and a reliable vocational training ground for many young people, who later went out as skilled labour to join various enterprises in the country.

But many also remained and provided a resource base for the camps to run their operations without necessarily running back to the government all the time.
Under no circumstances should this be allowed to happen again.

The minister has assured the public that the institution that is coming back next year will be different from the one we had known before as a nation.

The programme is coming back against the background of a changed social, political and economic setting, calling also for adjustments to meet the requirements of the times, without diluting the core values of the programme.

We expect the youths coming out of the camps to reflect those values.
It is our hope that this time around, the management weaknesses that led to its collapse will have been exhaustively addressed, so that National Service becomes not only an institution of promoting a sense of patriotism, solidarity and equality, but also a national production reserve in times of peace.

The camps should also build up capacity and become ever more efficient, self-sustaining entities, given the potential labour force at their disposal every six months of the year.

SOURCE: THE GUARDIAN

ippmedia.com © 1998-2010. All rights reserved
 
Azimio la Z'Bar liliondoa JKT just to allocate Hussein Mwinyi and his brother position within RULING GVT; it is done now they are going to reinstate JKT and JKU... Shame on RULING PARTY GVT

SISI TULIHENYA JKT...
 
jando la taifa linarudi...hureeeeee......hakutakuwa tena na wale watani zangu "wakurya" katika taifa hili
BIG UP GOVT FOR SEEING THIS
 
Wamejaribu kupangua kila kitu alichoanzisha Mwalimu.

Walivunja JKT.
Viwanda alivyoanzisha wakawagawia wageni. Hakuna kinachofanyika.
Wamefuta maadili ya uongozi. Ufisadi ukashamiri.
Ranchi za taifa wakagawana wao na marafiki zao.
Sasa wanatuletea mashirika makubwa ya kibiashara ya kimataifa kutulimia eti wanasema ni kilimo kwanza.
Madini yetu, Mwalimu alitaka tuyachimbe wenyewe, wamewakaribisha marafiki zao wa kizungu kutuibia na kutuachia makovu ya ngozi na mashimo, na mito ya maji yasiyotumika kwa binaadamu.
Siasa za Ujamaa na Kujitegemea zimegeuzwa kuwa Ubepari na Omba omba.

Na tunajivunia kutembeza bakuli ulimwenguni kote. Elimu yetu inazidi kudidimia wakati wenyewe wana uwezo wa kupeleka watoto wao shule Mauritius. Hospitali ndio usiseme. Tumeahidiwa bajaj kuwa ambulance wakati wao wana ambulance za kisasa katika misafara yao.

Ukiwauliza Tanzania miaka 50 ijayo itakuwa imepiga hatua gani katika kilimo watakuangalia kama vile una wazimu. Ili mradi wao hivi leo wameshiba pamoja na watoto wao. Ukiwauliza baada ya madini kumalizika nchini Tanzania itakuwa katika hali gani watasema wewe una kichaa. Ngoja sasa warudishe JKT maana wameona vijana wetu wasio na ajira wako restless na CCM haina jibu kwa mstakabali wao.
 
Afadhali. sijui wengine mnaonaje ila mimi nimefurahia sana. Watu waliopitia huko wana namna fulani ya kupenda nchi na kutokata tamaa kabisa na ideologies. Kweli viongozi wanakatisha tamaa ila sio sababu ya kutoipenda nchi yetu na kupigania mabadiliko, na kujivunia uraia...
 
tatizo JKT ikurdui inatakiwa irudi kwa Idea Ile ile lakini strategy mpya. Wakiendela na strategy zile zile za zamani itakuwa ni mzigo tu kwa taifa na utaishia kutengeneza wanajeshi wasio na kazi mtaani.

Ndo hapo sasa tutakuwa tunakaribisha mapinduzi ya kiukweli ukweli. teh teh teh.

Zaidi ya ukakamavu na uzalendo JK ya Kizazi hiki inatakiwa kuongeza mambo ya ufanisi , Tija na Uzalishaji na speciliasation

  • JKT na hata JWTZ wanatakiwa kuwa na mshamba makubwa ya mifano wilayani na mikoni JKT inataiwa kuwa na vituo vya kuwafunza watu ufugaji nyuki, kupanda miti nk
  • JKT inatakiwa kuanzisha vituo na ufundisha na kuendeleza vipaji vya michezo kama kuogelea,( Dar au Mwanza) kukimbia,( Arusha) Kuendesha baiskeli( Mwanza), etc. Tena kwa hivi vipaji hakunahajaya kusbiri mtu kakomaa mifupa. Kila mwezi wa sita wakati shule za primary na sekondari zimefungwa wanweza kuwafundisha watto kuogelea etc
Mambo yale yale aliyoacha Nyerere na kina kawawa yalihitaji creative na innovative mindi ili yawe endelevu. Saaabu wengi wana mawazo magando waliona yamepitwa na wakati. ....

Nawasilisha
 
Back
Top Bottom