Nathubutu Kuuza Sura JF

umeniboa kwa kutokunionyesha sura yako halisi umeificha kwanini au unataka tuiione siku ya White Party nini halafu nenda kabadilishe hizo nguo hasa hiyo ya juu haijakutoa kabisa hiyo hiyo ya chiini ni mwake hapo bigup kadoda11
mimi ni mbagaizaji tu dada yangu.sina fedha ya kuniwezesha kuvaa nguo za maduka ya woolworths.nimezoea za soko la karume,tandika sokoni....tena hapo nimejitahidi kweli.:glasses-nerdy:
 
Haya kadoda11,
Mimi nipo nang'aa sharubu hapa barazani.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…