hiyo ndio sura yangu dada gfsonwin
Hiyo picha ya mwanzo mbona umenyanyua suruwale hapo mbele..... Kulikoni......?
wee.... fumba macho.....!!!
mi nilidhani utademand picha ya hiyo sehemu badala ya maelezo...Niambie basi......
Nataka kujua.....si ametuwekea picha tumuone....atueleweshe sasa........
mi nilidhani utademand picha ya hiyo sehemu badala ya maelezo...
haya ni AK 47 yangu ambayo mungu alinizawadia:A S 11: