Nateswa na dawa za kuona wachawi hasa usiku

jamani
kama kuna anayejua dawa za kuweza kuniondolea kuona wachawi hasa usiku
anisaidie nateseka sana,maana kila siku naweza kuona wachawi 3-5 na mashart yake nikuwa nisiwasemeshe wala nisiwafanye chochote, mwenye kujua anipm tuwasliane zaidi.

Hayo ni mavuno ya ulichopanda. Dawa ni kurudi kwa aliyekupa dawa hizo, ataziondoa tu.
 
Atakufanya uwe kipofu?? Mi nadhani hata watumishi wa Mungu, baadhi yao, huwa na uwezo wa kuona wachawi.
Ishu hapa si kuona wachawi, bali njia aliyotumia kupata hayo macho ya kiroho.
Mungu ni zaidi ya upofu,uwezo wa kuona ya rohoni kama ni mpango wa Mungu huambatana na imani,walio wa Mungu hawawezi kudhuriwa na waovu,kuona ya giza pasipo Mungu ni sawa na kuishi Jehanamu
 
Dawa ni kuwakemea kwa jina la Yesu pekee

we! we! we! unataka wanitoe roho,dawa nilipewa na bibi yangu nikiwa mdogo ndiye alinipa hayo mashart,huwa nakutana nao usiku wkt mwingine mchana kweupe wengine nawafahamu wengine siwafahamu,kiukweli nateseka jamani.
 
jamani
kama kuna anayejua dawa za kuweza kuniondolea kuona wachawi hasa usiku
anisaidie nateseka sana,maana kila siku naweza kuona wachawi 3-5 na mashart yake nikuwa nisiwasemeshe wala nisiwafanye chochote, mwenye kujua anipm tuwasliane zaidi.
Out of Topic,
We ni ndugu yake Libolo??
 
Last edited by a moderator:
jamani
kama kuna anayejua dawa za kuweza kuniondolea kuona wachawi hasa usiku
anisaidie nateseka sana,maana kila siku naweza kuona wachawi 3-5 na mashart yake nikuwa nisiwasemeshe wala nisiwafanye chochote, mwenye kujua anipm tuwasliane zaidi.

Mimi naita aminije? Utembee na camera siku moja uwapige picha tuone kama kweli huwa unawaona.
 
we! we! we! unataka wanitoe roho,dawa nilipewa na bibi yangu nikiwa mdogo ndiye alinipa hayo mashart,huwa nakutana nao usiku wkt mwingine mchana kweupe wengine nawafahamu wengine siwafahamu,kiukweli nateseka jamani.

Kumbe haupo tayari kuacha ww!
Umeambiwa dawa ni Yesu,ss unachobisha nn
 
Nenda hospital yeyote kitengo cha magonjwa ya akili
wakithibitisha uko mzima kichwani anza kutafuta dawa ya kutoona wachawi

Ulishawahi kusoma soma kuhusu double personality na magonjwa mengine ya akili?
Hata wanaookota makopo ukiwauliza wanajiona wako sawa kabisa.

Hivi kwa nini hatuna utaratibu wa kuanzia hospital kwanza?
 
wakat unatafuta dawa ya kuwaona mbona hukuja hapa jamvin kuomba ushauri?Km ukwenda mwenyewe kutafuta hyo dawa bas waulize wazaz wako kwan hata shemej yako/mke wangu anawaona kila ck na uniambia na mchaw na nan co mchawi?mmoja nasali naye jumuia every saturday
 
Back
Top Bottom