Chukua chumvi ya mawe (sea salt) kidogo tu mix na maji kidooogo ili kwamba chumvi ikolee sasa, nyunyiza ndani ya nyumba yako. Matokeo yake ndo yatakufanya unitafute. Nyunyiza wakati wowote. Hizo negative energies zi-banish/ lender them powerless in Yeshua's name. Pia nenda k'koo mtaa wa Nyamwezi opposite na kituo cha magari ya mwenge (purple-belt), nunua mafuta ya mrehani (basil). yako conscetrated sana angalia usishike nguo yataacha rangi/madoa, njoo uweke kitone kimoja katika kila kona ndani ya nyumba/chumba chako wakati wowote. I always use the mighty name of Yeshua (Jesus). Kama ni watu wabaya you will never see them. Zaidi ya hapo ukipenda nitafute.