natengeneza mabango ya kampeni ya UKAWA.

natengeneza mabango ya kampeni ya UKAWA.

Kwani simaye na lowassa walitumika kwenye serikali gani vile? Kikwete ashasema hao ndio walikuwa wachawi (Maana yake ndio walioharibu nchi na Chama). Tushawaondoa subirini tz mpya.

Mrembo..hayo ni yako!! "Ada ya mja hunena, Muungwana ni vitendo" Mheshimiwa sana Red Giant yeye anapiga kazi..wewe endelea na mboyoyo zako.
 
Last edited by a moderator:
Kama kuna mtu ataendelea kutetea huu udhalimu...eti ccm iendelee kututawala kwa kweli acha tu laana imshukie
 
LOWASA.jpg

Duh.. hatari Sana.. kweli kuishabikia ccm unatakiwa kuwa na akili za maiti
 
Kama kuna mtu ataendelea kutetea huu udhalimu...eti ccm iendelee kututawala kwa kweli acha tu laana imshukie
na laana itawashukia kweli. kuitetea ccm ni sawa na kumkuta mtu anampiga mama mjamzito, wanae na bibi yao kisha ukaanza kushangilia.
 
Tunategemea utueleze utafanya nini juu ya hayo sio kutuonyesha tu
 
Angalia watakataza watu kuweka picha mitandaoni
 
Kwani simaye na lowassa walitumika kwenye serikali gani vile? Kikwete ashasema hao ndio walikuwa wachawi (Maana yake ndio walioharibu nchi na Chama). Tushawaondoa subirini tz mpya.

Hao walivokua wanaiharibu nchi mkuu wa kaya na waziri mkuu wake pinda walikua wapi? Au walikua wanapewa order na lowasa jinsi ya kuendesha nchi, sawa na baba anae lalamika mtoto wake mkubwa ( first born) kaharibu familia wakati ye yupo,
 
Hayan ndo maisha bora kwa kila mtanzania aliyoyahubiri BIG BOSS
 
Nashauri kwamba mabango haya yabandikwe kwenye screen kubwa itakayo wekwa uwanjani Wakati wa uzinduzi wa kampeni za ukawa kama wataweza kufanya hivyo.Yatathibitisha kwa vitendo hotuba zitakazo tolewa hapo. Mnaoweza kuwasiliana na Mnyika ampe ushauri huu.
 
Back
Top Bottom