Haiwezekani watu wawili waliofanya kazi kwa jumla 12 years wakawa responsible kwa shida za miaka 54.Kwani simaye na lowassa walitumika kwenye serikali gani vile? Kikwete ashasema hao ndio walikuwa wachawi (Maana yake ndio walioharibu nchi na Chama). Tushawaondoa subirini tz mpya.