KERO Mifumo ya Mabango ya Manispaa inatuumiza wafanyabiashara

KERO Mifumo ya Mabango ya Manispaa inatuumiza wafanyabiashara

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
G

guest-1793111933

Guest
Kama makampuni ya Marketing tunapata nafasi ya kufanya activation maeneo tofauti. Mara nyingi activation hizi kwa huhitaji magari ya kukodi mbayo huitaji kuwa na stika (mabango) ya kampuni husika.

Lakini mfumo wa Manispaa hauna sehemu inayoruhusu mtu kulipa kibali kwaajili ya mda mfupi (mfano mwezi au miezi miwili) kulingana na urefu wa project.

Mfumo hua unakubali kibali cha mwaka tu ambacho kinakua bei sana ukilinganisha na thamani na project. Kitu ambacho kinatukosesha wateja ukizingatia Bado unahitajika kulipa kibali cha kupiga mziki. Tunaomba serikali ifanyie kazi swala hili kwani linaleta mianya mikubwa ya rushwa.
 
Back
Top Bottom