Kama ni waislam uolewe mke wa pili.....
Ukinipenda kama navokupenda, ntamuomba Mungu atuchukue kesho tukaishi peke yetu. Staki bugudha nikiwa na wewe:A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2:mume wa ujana wangu!! nimeitika rabekha maana umeniita! nakupenda hubby wangu!
Achana na mume wa mwenzako wewe dada.
Ungekuja kushtukia baadaye kama ni mume wa mtu kama alivyoimba Dataz hiyo ingekuwa habari ingine, na hata members humu wangekuonea huruma.
Kuanzia siku ile ulipomuona ananunua nguo za harusi ungemfanya kaka tu.
Mie nashangaa
Ukitaka kujua haya, nenda pale pa kupimia DNA, wanamme wanalea mamluki kibao toka kwa wake zao.
DUnia hii lazima uwe unajua unachotaka, kama ni kujilipua na uko comfortable unajilipua, mme wa mtu kitu gani, watu wanajilipua na akina baba paroko!!!
KAma ndoa ni ya Romeo ana Julieth, huyu Romeo anafuata nini kwa Fatuma??
Hapo hakuna malavidavi ni tamaa za mwili a.k.a ngono na kuchakaza K
Nikiwaza ule msemo kuwa asiye na dhambi na awe wa kwanza kurusha jiwe, then najikuta naogopa kukushauri
Sema kabisa una hamu ya kulobokewa kinyeo chako.Nataman sana kutembea na Mke wa mtu