Kwanza is Amir ya Sita Bali ni Amir ya sabaH! ila wacha uzimzi an wake za Watusi. oa wa iwaki halfu jamaa wamgegedue Kama utakuja kuuliza Ushuaia hapa!!!
bado unajiuliza?
hawa watu hawashauriki.. ngoja yakukute ya ufoo saro! no discussion!
yani nitoke zangu kongo huko halafu nikute fa.la mmoja anabanjuka na waif?
qudadeki nakaa na wewe mwezi mzima, kiungo kimoja baada ya kingine.. you will tell!
Kaka kwani ukumbuki hile ya 2012 mkoan kagera mwanajeshi alimfumania mke wake siku iyo alikuwa lindo alichokifanya alichukua hile silaa ya lindo akampiga mke wake risasi pamoja na jamaa kisha akaifuta familia ya jamaa bahati mbaya akamkuta mtoto mke wake hakuepo.kapiga mtoto risasi pamoja na bibi yake kisha kajimalizia mwenyewe
Pole Kijana endelea kula laha
We muache tu anachezea mke ya mura,
kwanza is amir ya sita bali ni amir ya sabah! Ila wacha uzimzi an wake za watusi. Oa wa iwaki halfu jamaa wamgegedue kama utakuja kuuliza ushuaia hapa!!!
dogo naona kama unanichezea masharubu eenh!
aliekwambia wanajeshi wote ni akina mura ni nani?