Natembea na mke wa mjeshi

Natembea na mke wa mjeshi

rubbish-stupid.jpg
 
operation kimbunga itakupitia ...shauri yako unahamu ya kusex na mti?
 
yaan ww unatenda kosa na unajua ni kosa halafu unajifanya hujui ni kosa,apandacho mtu ndicho atakachovuna.
 
Hawa jamaa wana ushirikiano kwenye ishu za kugawa kipondo.

Ila siku hizi wamekuja na mbinu mpya kwa ishu kama hizo baada ya jina lao kuchafuka sana....

Kuna jamaa alikula mke wa mjeda.......mjeda akashtuka.....alichofanya mjeda ni kuongea na wenzake na wakawa wanapeana zamu wajeda watatu ya kukaa mbele ya mlango wa jamaa....kama mita kadhaa hivi....basi jamaa akitaka kutoka tu wanasogea mlangoni...jamaa anarudi ndani....

Baada ya mwezi mmoja jamaa akakutwa ndani amekufa kwa njaa na msongo wa mawazo.
 
Subiri mjeda aje kukoki A.K 47 kwny 0713 yako utakuja kuadithia vzr humu mkuu.
 
yan ww naomba jiandae tu kutumika!!! nahc marinda yako yanahitaji kutatuliwa sio bure!! comin sooon
 
kunahaja ya watanzania kupimwa ubongo maana wengine wantumia ghalama nyingi kutoa matangazo ya EPUKA MICHEPUKO wengine ndo wanazid kuanzisha hasara sana.
 

Attachments

  • 1392654403045.jpg
    1392654403045.jpg
    6.3 KB · Views: 358
Wana Jamvi ninasueni, Mke wa Mjeshi amenizima ghafla nikashawishika tukavunja amri ya sita. Sasa mazoea yamekuwa kawaida, hivi majuzi alinitamkia kuwa anataka azae na mimi. Sasa wanandugu Mjeshi akijua mali yake inaibiwa atanipiga Risasi. Nisaidieni nitauawa.

Ungenijulisha kabla ya kutoka na mke wa mjeshi leo hii ningekushauri. Cha msingi tafuta bulet proof. Kama mjeshi alikuwa mzuri ktk range atakupa hata ya kichwa. Cheki na wasuluhishi wa mambo hayo.
 
Mzinzi hata umshauri vipi hawezi elewa...
 
Wana Jamvi ninasueni, Mke wa Mjeshi amenizima ghafla nikashawishika tukavunja amri ya sita. Sasa mazoea yamekuwa kawaida, hivi majuzi alinitamkia kuwa anataka azae na mimi. Sasa wanandugu Mjeshi akijua mali yake inaibiwa atanipiga Risasi. Nisaidieni nitauawa.

Mpaka hapo machoni pa Yehova wewe ni maiti inayonuka i.e. kiroho ushakufa siku ulipoanza uzinzi.
 
Ijaze vocha hiyo Min kabaang najua ipo siku italiwa
 
Back
Top Bottom