Wana Jamvi ninasueni, Mke wa Mjeshi amenizima ghafla nikashawishika tukavunja amri ya sita. Sasa mazoea yamekuwa kawaida, hivi majuzi alinitamkia kuwa anataka azae na mimi. Sasa wanandugu Mjeshi akijua mali yake inaibiwa atanipiga Risasi. Nisaidieni nitauawa.