Nategemea kuvuta fiber internet ya TTCL

VODACOM BUSINESS HOME USERS &OFFICE

Supa kasi Internet Unlimited bundle
Free Router+Antenna. (Wireless Router)
20 LTE 20Mbps 115,000/=Tu kila mwezi

Supa kasi Internet Unlimited bundle
Free Router+Antenna. (Wireless Router)
30 LTE 30Mbps 165,000/=Tu kila mwezi

Free installation

For more information
Please check me [emoji338]0744355811
 
Hujatupa feedback ya uko mkuu vp wanafunga tayari
Bado hawajafunga, niliwauliza wanafunga lini waliniambia mpk wamalize kufanya survey ndio wataanza kufunga. Na sehemu ambazo kuna nguzo zao za simu itakua ni haraka kwasababu hawahitaji nguzo nyingine.

Sent from my CPH2015 using JamiiForums mobile app
 
Ni waya, zinapita kwenye mifereji ama nguzo nyumba mpaka nyumba, unavuta kwako kama umeme unapata internet bila kikomo, unatumia mpaka uchoke mwenyewe.
Huku kinondoni mkwajuni nilipo karibu na home voda wamepitisha fibre zao.so nikitaka naenda kwao naingiza kwangu ? manaake nakumbuka walitandaza nyaya kama zote
 
Huku kinondoni mkwajuni nilipo karibu na home voda wamepitisha fibre zao.so nikitaka naenda kwao naingiza kwangu ? manaake nakumbuka walitandaza nyaya kama zote
Sidhani kama Voda wanaleta Fiber moja kwa moja, broadband yao ni wireless.
 
Huku kinondoni mkwajuni nilipo karibu na home voda wamepitisha fibre zao.so nikitaka naenda kwao naingiza kwangu ? manaake nakumbuka walitandaza nyaya kama zote
Voda anatoa broadband ya LTE fiber anatoa Kwa majengo ya fiber ready building lkn kama wataka uletewe home pia ana Io option ambayo unakua unaletewa kwenye jengo lako
 
Speed inategemea na source, Wifi ni kipitisho tu cha data, kama source ni Fiber itakuwa na speed, kama source ni adsl ama satelite itakua miyeyusho.
Hiyo antena ndo inatumiwa na ttcl au wao wanakuletea fiber mpaka nyumbani?
 
Walipitisha huku na wakasema ni fiber za voda mkuu
Ni kweli wanachimb na kupitisha shm nyngi ila ad upate nyumbn kwako lazma uwe na viambatisho vng
Mfano tu ID,tin,proof of residency and vngne vngi mkuu
 
Walipitisha huku na wakasema ni fiber za voda mkuu
Fiber mkuu sio lazima iwe end product tu inatumika pia kama Backbone, mfano minara ya simu, hiyo Microwave ya sasa etc zinatumia Fiber kama Backbone, huku Tanga mitaa yote kuna Fiber ya Halotel ila wanatumia tu kama Backbone ya Minara yao kwa sasa.

Sijajua plan yao huko mkwajuni ni ipi, ila sijasikia kama Voda wana Fiber za majumbani.
 
Hapo sawa kaka
 
Duh
 

Attachments

  • Safaricom-Internet-plus-640x360.jpeg
    22.8 KB · Views: 76
Nimekutama na hawa wengine wanasema wapo na wamefika sehemu mbalimbali za jiji la Dar es salaam
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…