Nategemea kuvuta fiber internet ya TTCL

Apo ungecheki Voda chap tu anafunga supakasi internet kwako mkuu
 
Mkuu naomba kuuliza tena hao wanaotoa huduma ya Isp wao Internet yao wanatoa wapi
ISP si kama Vodacom ye ananunua toka Europe kupitia world wide ISP then using Fiber anasafilisha ad center ake pale south so toka apo south ndo anaenda Kwa inch zingne so far fiber cable inapita chini ya ardhi au chni ya bahari
 
Hizi IT zetu...wewe badala uwape watu miongozo jinsi ya kuingiza hela matokeo yake imekuwa kinyume...

Tumia bando la kawaida mpka utakapoona uhitaji wa hizo fiber, hiyo hela ya kulipia mwezi inabid uingize kwa siku ikizid sana siku mbili .
Huyu jamaa fala kweli. Unafikiri ukijua IT ndo umejua kila kitu nonsence kabisa
 
ISP si kama Vodacom ye ananunua toka Europe kupitia world wide ISP then using Fiber anasafilisha ad center ake pale south so toka apo south ndo anaenda Kwa inch zingne so far fiber cable inapita chini ya ardhi au chni ya bahari
Kwa mfano nikitaka kuanzisha ISP co kama sina uwezo wa kutoa Internet uko Europe naweza kutoa kwa vodacom
 
Je haya mashindano ya Zuku na TTCL kwenye Fiber unahisi Zuku atatoboa?
 
Hiv hiv fiber ndio nn wakuu au ni unaenda ttcra wanakupa internet yako mwenyew unakuwa unauza msaa please
 
Mashindano yao faida kwetu, Zuku wana Huduma nyingi za kujitofautisha, sidhani kama atatolewa sokoni, ila soko lake litamegwa.
Hivi kwann nchi kama marekani ukiangalia kampuni kubwa la Internet kama AT&T halija dominate Internet provider kwa majimbo yote lakini ni more powerful ISP kwa bongo ttcl ndo ka cover asilima kubwa lakini haliendelea kukua kiuchumi
 
Isp wa marekani ni kama maduka makubwa ya simu, wanauzia watu simu kwa mikataba wanalipa kila mwezi huku wakipewa dakika na gb za kupimiwa kwa mijali. Ile system inafanya kazi Marekani tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…