Holly Star
JF-Expert Member
- Aug 25, 2018
- 4,327
- 8,184
Waheshimiwa 43+ heshima kwenu, wadogo chini ya 40 mnisalimie
Aisee kama uzi unavyosema nategemea kuingiza fiber ya TTCL na 20mbps shared. Professionally ni mtu wa IT
Mbali na kuiunga kwenye tv na social media nataka niitumie kujiingizia kipato
Bado nawaza nitaifanyia nini cha faida
Kuna utube chanel, ticktock
Kama kuna mwenye wazo tujuzane

, Leo ni siku ya 9 ya kazi, sikutaka kuhesabu weekend, nimeassume tu hawafanyi kazi weekend.