Natangaza rasmi ndoa na janeth1

Natangaza rasmi ndoa na janeth1

Ha ha haa shemej mwalm wa kudum, karbu shemej yang itabd unitaftie na mie kaz ya ualimu inaonesha uko kuzur sana.

shemeji yako anapendwa sana na wanafunzi na walimu.
 
Last edited by a moderator:
jaman wif nipe shule kabla kaka'ko hajafka hako kaugal kamenipta kushoto ujue..

Uje nikufundishe wifi yangu, usikonde....tutakuwa na mdogo wangu Arabela kuhakikisha unajua mapishi yoote ya kitanga ayapendayo kaka Mwanyasi
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom