Ladymasa
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 877
- 335
kumbe huyu!
ladyfurahia huwa ananifananisha
Inaonesha mada ya utata ukiwa shule ulkmbia, na languag acodng 2the envronment uliichepuka pia ukiunganisha hvyo v2 utajua namanisha nn.. My husband ksw hawez mie ndo namfundsha, karbu hom bas..

Bhana hujui kuandika au bado utoto wakusumbua? mtu-m2 kiswahili-ksw use your comon sens mama Mwanyasi mfundishe mkeo bhana mbona anatia aibu huku au ndo mapozi yenyewe?

Haya mama sijazoea kubshana songa mbele naona upo kwajil ya kuharbu sherehe tangu awali nishakusoma.
Kumbuka sina maandishi bhana sory my dear wifi kama nimekuboa
baada ya kukaa kwa muda mrefu bila mke, leo natangaza rasmi kuwa janeth1 ni Mrs. Mwanyasi.
taarifa kwa mwenyekiti Baba V na rais Arushaone wakiwa viongozi wetu.
dada na kaka zangu KOKUTONA amu Arabela Lady doctor watu8 Kaizer Judgement YNNAH Asprin DEMBA Chocs Filipo Heaven on Earth Mtoto halali na hela na marafiki wote.
Halafu wewe yaelekea bado utoto wakusumbua utaandikaje ksw wakati kiswahili mtu m2 kuwa mkubwa bhana wifi hahahaa
Bhana hujui kuandika au bado utoto wakusumbua? mtu-m2 kiswahili-ksw use your comon sens mama Mwanyasi mfundishe mkeo bhana mbona anatia aibu huku au ndo mapozi yenyewe?
Just jockng lakini kuna kaukweli fulan hapo utanisamehe kama nitakuudhi wifi lakini!
Kumbuka sina maandishi bhana sory my dear wifi kama nimekuboa
Eeh sebho hata kunambia nduguyo???
Hivi kweli mimi harusi yako ni wa kuisikia redioni?
Ahsante kwa tabia hii nzuri na upendo,Nikiwa nafundwa niliambiwa niwe makin na mawif wa aina kama yako, napaswa kuwapenda wote wif awe mkorof awe mwema bado wote ni ndugu zangu hivo nakupenda wif vile ulivo uzur nimeshawasoma wif zang wote sitapata shda.
Nikiwa nafundwa niliambiwa niwe makin na mawif wa aina kama yako, napaswa kuwapenda wote wif awe mkorof awe mwema bado wote ni ndugu zangu hivo nakupenda wif vile ulivo uzur nimeshawasoma wif zang wote sitapata shda.

Ahsante kwa tabia hii nzuri na upendo,
endelea kuwa muungwana my sweety utaishi na watu wa aina zote duniani.