janeth1
JF-Expert Member
- Apr 4, 2014
- 2,151
- 768
Mamiii uko wapi tena
mbu wananiuma hapa
pole husband jaman kuna shughul nilikua naifanya, nambie dear wang.. Af leo kwa ibada si unajua?
Mamiii uko wapi tena
mbu wananiuma hapa
pole husband jaman kuna shughul nilikua naifanya, nambie dear wang.. Af leo kwa ibada si unajua?
Shemeji, nakusalimia tu, mzm wewe?
naam nmekuja mama kuna upepo mzurii.
naam nmekuja mama kuna upepo mzurii.
ok, sasa nimefrah dear.
umepotelea wap tena dear?
Anakudanganya uyo
mama, leo 'Valentina' alikuwa na mazungumzo ya kiofisi na mimi kwa takriban masaa 8
ooooooh kwahiyo hakukuoa tena?