Miss Neddy
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 14,684
- 8,754
jaman karbu mpendwa itakua kad yako 2limisplas bahat mbaya tena ilkua dabo na excel, b free..
ahsante mwaya ingawa sherehe tumeikuta mwisho mwisho vinono vishaliwa
jaman karbu mpendwa itakua kad yako 2limisplas bahat mbaya tena ilkua dabo na excel, b free..
usiogope kaa chini, nawa mikono.... ule, unywe ucheze
Ujue heshima na hekima yangu ndio inawaita watu wa aina zote.
Tuwapende watu na kuwaheshimu mke wangu
nashukuru wif maana roho ishaanza kuuma.
Licha ya kuuma itatoka kabisa hahahahahahaaaa!
Yaani sis kwakweli wifi atusongee mana ni mda sasa...
Ha ha haaaa haitok m2 hapa.. Nakula bata na my sweet wangu wala ha2gombwi teh teh..
Saana tu yaaani, hezea wifi kinyuli nyuliii
Ha ha haaaa haitok m2 hapa.. Nakula bata na my sweet wangu wala ha2gombwi teh teh..
yap ! ndyoff baridi zipo? usisahau na nyama ya ndaff kwa pembeni ee?karbu bwana mtumwa, chukua sahani ya pilau ule ushibe na uchague kinywewa.
ombea mema maharusi
Haloooooo! unalo hilo limekuganda bibie kwikwikwikwiiiii umependezaje!
Saana tu yaaani, hezea wifi kinyuli nyuliii
Hilo nalo nenooo!!!