ndio maana nakupenda wife,
haya sema, tumpelekee nini wifiyo!
Asante tukpumzka 2takuja na kaka'ko wif yangu.
ndio maana nakupenda wife,
haya sema, tumpelekee nini wifiyo!
Karibuni sana ntafurahi kuwaona
navomjua wif yang anapenda kujlemba hvo naona 2mpelekee set moja ya dicolation, na gaun flan iv naona ltamfaa wif, ata pesa kias ata2mia kwa matumiz yake mwenyewe, unaonaje husband?
Jaman nawapend sana
Woow my wii asante yaani ninavyopenda kujiremba umenipatia hasaaa..nakupenda wii
kamanda mzima aisee?
sijambo mamii,
kupendwa ndio huku...love you!
sijambo mamii,
kupendwa ndio huku...love you!
sijambo mamii,
kupendwa ndio huku...love you!
Kila la kheri