Natangaza rasmi ndoa na janeth1

Natangaza rasmi ndoa na janeth1

mkwe nimeona ile gift ulonitumia kwaajili ya pasaka usiwaze soon ntakurudia.
asante sana ma mkwe... tam ya wali ni nazi!

niko mihangaikoni mama, soon ntakuletea mkufu wa almasi.. nipe muda.

have a happy holy friday..
 
asante sana ma mkwe... tam ya wali ni nazi!

niko mihangaikoni mama, soon ntakuletea mkufu wa almasi.. nipe muda.

have a happy holy friday..

ndo maana mi pendaga sana wewe mkwe....... Raha ya supu maandazi!

Kuwa huru muda nakupa mkwe Wangu.

Thank you, nawe pia!
 
ndo maana mi pendaga sana wewe mkwe....... Raha ya supu maandazi!

Kuwa huru muda nakupa mkwe Wangu.

Thank you, nawe pia!
asante mkwe, you are my everything unajua.. kama makofi polisi vile!

msalimie sana mzee Arushaone, pasaka hii ntamrushia buffalo kutoka serengeti..! mshindwe nyie tu!
 
asante mkwe, you are my everything unajua.. kama makofi polisi vile!

msalimie sana mzee Arushaone, pasaka hii ntamrushia buffalo lutoka serengeti..! mshindwe nyie tu!

Sio lutoka bali ni kutoka .
 
Last edited by a moderator:
asante mkwe, you are my everything unajua.. kama makofi polisi vile!

msalimie sana mzee Arushaone, pasaka hii ntamrushia buffalo kutoka serengeti..! mshindwe nyie tu!

ooh...... Yaani mkwe i can't even describe in words how much u mean to me....... Yaani yaani basi tu.

Salam zimefika mkwe karibu sana kwenye boma la prezdaaa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom