Natangaza nia ya kumuoa yule mama ambaye roli lake lilizama mto wami kama hana mme: Bila mume makini mama atapata tabu

Gari yenyewe unayoifanya sababu ya kutupiga saundi umeiona?

Au mtanunua jipya mana niliwahi msikia akisema alikuwa nalo lile moja tu.
 
20200623_092736.jpg
 
Kwa habari ya mwanaume kuwa kichwa uko sahihi. Imeandikwa:

"Lakini nataka mjue ya kuwa kichwa cha kila mwanamume ni Kristo, na kichwa cha kila mwanamke ni mwanamume, na kichwa cha Kristo ni Mungu" 1KOR 11:3.

Kwa habari ya kumuoa huyo dada: ndugu, wewe si ni una mke wewe????

Sent from my TECNO LA6 using JamiiForums mobile app
mwajuma atakuwa mke wa pili bado Nina nafasi tatu zinatafta watu bado sijapata
 
Wanawake wenye uthubutu wako wengi Sana! Ni Jambo jema; Na yote hayo yamepelekewa na sisi wanaume kutowatimizia mahitaji yao ipasavyo!

Huyo mama anaonekana Ni miongoni mwa wapambanaji!
Biashara Ni VITA ya kiuchumi! Hupaswi kuingia mzimamzima kizembe Utapigwa KNO moja (noki Auti) na usirudi tena uringoni.

Upambanaji hususani wa kuwa mfanyabiashara mkubwa, Kuna msukosuko mingi Sana ambayo inaonekana na isiyoonekana!
Hisia,Maono,Uvumilivu, na Kinga vyote hufanya kazi sambamba!

Huyu mama anahitaji kuwa na mme makini Ili awe KICHWA!

Ikumbukwe Mwanaume Ni kichwa Cha familia ( hayo Ni maneno kwenye maandiko)
Ukichambua maana ya kichwa; Hata Kama hakina nywele Kama wasemavyo wahenga "akili Ni nywele"

Bado kichwa kipara kinauwezo wa kupasua, kuteleza hata kupenya pembamba ili kiwili wili kipite!
kwahiyo sifa ya kichwa kuongoza Ni wajibu!

Kwa maneno yake mwenyewe yule mama alipohojiwa alisema Hana mme!

Angekuwa na mme;

Isingekuwa rahisi kabisa Ile gari ya biadhara kuikatia bima ndogo namna Ile (third party).
Wanaume tunaujinga wetu lakini katu hakuna mwanamke hata awe mme bwege angekubali kukata third party Gari la biadhara tena masafa, huyo mme wa hivyo hata Kama awepo angepewa ushauri hata vijiwe vya kahawa, maana kijiweni huwa tunanyooshana!

Kwenye biashara hususani ya usafilishaji, Ni Kama kucheza draft, lazima akili ichanganye vinginevyo unapigwa kingi mapema!

Mtazunguka sana lakini UKWELI ni kwamba yule mama anahitaji Mme!

La sivyo huko mbeleni akirudi kwenye gemu basi itabidi konda, dreva au Fundi gereji wajitolee!!!

Mnaotoa misaada endeleeni kuchangia!

Mimi najitolea kumuoa yule mama!
Maana imeandikwa Mtu mwanamke atazaa kwa uchungu, na Mtu mwanamme atakula kwa jasho!

Ukipindua haya maandiko, Ewe mwanamke ukaamua kubeba zege leo ni sawa utabeba, Lakini itabidi awepo Mwanaume wa kukutwisha kichwani Hilo zege! Na huyo anaekutwisha ndo kichwa mwenyewe!

............Asili Itabaki Asilia..........

Hakuna ambaye hataki kata bina kubwa! Kuna kumwomba Mungu kisitokee kitu wakati unatafuta ili ukate Bima kubwa!

Kwa haya maelezo yako, wewe naamini una waza biashara kama theory, and not practical kitu halisi!
 
Nadhan angekuwa na mume hata hapo asingefika! .usimharibie maisha yake lol..Mambo ya kuanza kulea mwanaume yanaanzaje Tena! Yule ashachora ramani yake ndo maana Hana kuvunjwa moyo. Yaan ashaconnect dots hapo anazifatisha tu😋
 
Nadhan angekuwa na mume hata hapo asingefika! .usimharibie maisha yake lol..Mambo ya kuanza kulea mwanaume yanaanzaje Tena! Yule ashachora ramani yake ndo maana Hana kuvunjwa moyo. Yaan ashaconnect dots hapo anazifatisha tu😋
Kama utajili Ni DOTS Basi wachora piko wote wangekuwa matajili; mi nataka nimsaidie!
 
Mtu unamsoma kwa njia nyingi tu! Mie sitaki kukusoma kuwa picha kuubwa akuu...haya kaendeleze "utajili"kila la heri!
Unamzibia mwenzio asipate mme; Wakati wewe una kauzu wako mnakula maisha!
Kwanini wanawake hampendani?
unataka huyo mama aendelee kuzini Hadi lini?
unafaham kuwa Mungu Ni wa Maagano, Vipi Kama huyo mama alimuahidi Mungu hatatenda dhambi akifanikiwa, na alipopata roli akazimi ndo ikawa pigo la Gari kuzama mtoni.
Akiolewa Atapata hifadhi sana
 
Unamzibia mwenzio asipate mme; Wakati wewe una kauzu wako mnakula maisha!
Kwanini wanawake hampendani?
unataka huyo mama aendelee kuzini Hadi lini?
unafaham kuwa Mungu Ni wa Maagano, Vipi Kama huyo mama alimuahidi Mungu hatatenda dhambi akifanikiwa, na alipopata roli akazimi ndo ikawa pigo la Gari kuzama mtoni.
Akiolewa Atapata hifadhi sana


😄😄Simzibii mkuu..kila la heri tualikeni kwa kula mpunga
 
Back
Top Bottom