Natangaza Ndoa

Ewaaaa....nadhani alimaanisha hivyo. Labda walikuwa wanaishi katika ndoa iliyofungwa kiserikali au kimila, sasa wanataka kuibariki iwe ya ki-Mungu.
Nahisi nimekuelewa mkuu...!

Wamechakachuana kwanza kisha ndio wanataka ridhaa ya Mwenyezi Mungu... Ok!

Mimi nilisha wahi ona watu, wakifunga ndoa kwa mujibu wa imani za dini zao, kisha ndio wanakwenda kufunga ndoa kimila.
 
chief!! tunaanza kuulizana makabila tena jamani! hebu rudisha moyo na kiwiliwili nyuma,ukumbuke urithi aliotuachia baba wa taifa. fanya mpango bwana,i will make u smile,lol!

 
Mimi naomba niwekwe kwenye kamati ya mapokezi.......maana na mimi nitapta fursa ya kuchagua wangu

Utakuwa na Lizzy,mamushka n.k, karibu mkuu ila unatakiwa kwanza um-pm Invisible au Rev Masa ili wakuelekeze jinsi ya kufanya application.
 
Umesahau Dena Amsi na Sizinga

Ngoja nim-Pm Rev kumpa taarifa kuwa kuna watu wengine wameongezeka,naomba kama utamwona Invisible huko mtaani mwambie Dena na sizinga wanahitaji wanakamati.
 
Ngoja nim-Pm Rev kumpa taarifa kuwa kuna watu wengine wameongezeka,naomba kama utamwona Invisible huko mtaani mwambie Dena na sizinga wanahitaji wanakamati.
<br />
<br />
Ha ha ha jamani mie nimepewa Sinziga? Mi miss Him sana ha ha
 
Mkuu,naomba m-pm mamushka, hii avatar inamfaa sana. LOL
Haaaahaaaaaaaaaaaaa jamani mnanionea kwa hiyo mi ndo nafukuzia hivyo, yani mi naomba pasta na lizzy mambo yasikae sawa ili niwe mama mchungaji, na kihitaji sana hicho cheo.
 


Nilikuwa sijaiona hii

Hii ni ndoa yenye mikosi.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…