Natangaza ndoa

Hizi picha mbona zaelekea kama ni za Nigeria?????????????????????????????????? Kule Niger...................................
 
Cake.jpg

Ivuga nilisahau na keki
 
Mama yangu..........
Ulikuwa bibi harusi huna taarifa, weka bayana tuhudhurie harusi hiyo fasta.
wana jf natangaza ndoa
mwenye pingamizi aweza litoa
ndani ya saa 24 kuanzia sasa
na kama pingamizi hakuna
basi ndoa itakuwa imehalalishwa
na ujue kuwahi sio kupata
na naomba pingamizi lisiwe na jazba
kwani kaumbwa na mola
akampa urembo,utashi na hekima
kwa sababu yake siwezi hata kulala
avatar29954_16.gif
avatar29954_16.gif
images
 
Kila la heri kwa Bibi&Bwana Arusi Watarajiwa.
Asante sana Br. Finest kwa michango yako kwa wanandoa watarajiwa.
 
Weka wazi utafunga hiyo ndoa na nani ili tujue ili kama kuna pingamizi tuweze kutoa.
Maana tutawezaje kutoa pingamizi kwa watu tusiowajua??????????????
 
haya ngoja nikatafute
dawa yangu ya depression
halafu ntarudi ..
maana kwa sasa nina
Kizungu zungu na Kiafica frica..
siamini macho yangu ...mmmhhhhhh

Hivi mie naota au ni kweli naombeni mnifinye niamke kama naota..
 
Anafunga na AFRODENZ. Weka mapingamiz haraka manake 2ko kwnye maduka ya shela ili km vp 2ahrishe manunuzi.
Weka wazi utafunga hiyo ndoa na nani ili tujue ili kama kuna pingamizi tuweze kutoa.
Maana tutawezaje kutoa pingamizi kwa watu tusiowajua??????????????
 
Bi haruc mtarajiwa 2weke waz tfdhal, manake 2meanza kutoa michango ye2. Ndoa ipo au haipo?
haya ngoja nikatafute
dawa yangu ya depression
halafu ntarudi ..
maana kwa sasa nina
Kizungu zungu na Kiafica frica..
siamini macho yangu ...mmmhhhhhh

Hivi mie naota au ni kweli naombeni mnifinye niamke kama naota..
 
Back
Top Bottom