Natangaza ndoa

Wedding.jpg
.
 
Mmh yaani watu mnazimiana kwa mafeki nemu yenu hii kazi bwiiii

Muombe mungu msiwe ndugu esp kama kaka na dada

Kwi kwi kwiiiii

acha kunitafutia balaa mkuu ,isitoshe nina mdogo wangu wa kike mmoja tu na yupo chuo
 
Mh! bado thread za maumivu zitaanza. Ni mchumba wako toka lini. Nakushauri kama huna zaidi ya 5yrs ya maangalio wala usioe. Utakuja niambia kama siyo kilio kabisa.

We jitumbukize kwenye moto.
 
Achana nae pingamizi lake halina maana. Vp ushasoma hyo PM??? Tuweke wazi tfdhal au anzisha thread nyngne u2ombe ushauri.
acha kunitafutia balaa mkuu ,isitoshe nina mdogo wangu wa kike mmoja tu na yupo chuo
 
Moto tena??? Mbona mnazidi kumtia kaka Iv.pressure jaman??? Ameomba mwenye pingamiz aweke hapa, weken basi tumshauri.
Mh! bado thread za maumivu zitaanza. Ni mchumba wako toka lini. Nakushauri kama huna zaidi ya 5yrs ya maangalio wala usioe. Utakuja niambia kama siyo kilio kabisa.

We jitumbukize kwenye moto.
 
Ivuga unavyojitetea??? PM bdo haija2mwa tu?? Au anasubir mpk shela inunuliwe ndo alete hlo pingamizi? Mambo gn ku2wekea bwna haruc mtarajiwa roho juu?

unafikiri nitaifungua sasa ivi :):) watu wengine usiwabeep jamani mwe!!!
 
PHP:
mimi sina

Usijali wako yuko njiani anakujongelea.................................msubirie tu................................subira yavuta kheri...................
 
Back
Top Bottom