Natangaza ndoa

Utafiti unaonyesha wanaume wa kibongo tunaongoza kwa kutangaza ndoa tukishapata tunachokitaka haooo tunasepa kiaina na kashfa tele, mara oooh demu akitembea kama arudi nyuma n.k.
 
IVUGA unaweza kuongeza muda wa kuwasilisha pingamizi maana napitia archive yangu kuweka viambatanisho kwanini hii ndoa isifanyike ...sasa muda naona hautoshi maana i WANT TO BUILD A VERY VERY STRONG OBJECTION WITH ENOUGH supporting documents and photos...tafadhali ridhia hili...maana hatuwezi kukoseshana raha mjini hapa kirahisi hivi
 
aaah wapi mi Nyanzala wangu miaka 8000 sasa toka tumekutana humu humu JF...mambo kila siku mapya japo ananisema nalala na simu kwapani au pale kwenye heater
 
Yalaaaaa. We kweli umeamua kuzuia hii ndoa! Iv mwenyewe kakimbia, maskin cjui ameogpa nin au ndo anasoma PM?? Iv.are you ok ma brother???
IVUGA unaweza kuongeza muda wa kuwasilisha pingamizi maana napitia archive yangu kuweka viambatanisho kwanini hii ndoa isifanyike ...sasa muda naona hautoshi maana i WANT TO BUILD A VERY VERY STRONG OBJECTION WITH ENOUGH supporting documents and photos...tafadhali ridhia hili...maana hatuwezi kukoseshana raha mjini hapa kirahisi hivi
 
Utafiti unaonyesha wanaume wa kibongo tunaongoza kwa kutangaza ndoa tukishapata tunachokitaka haooo tunasepa kiaina na kashfa tele, mara oooh demu akitembea kama arudi nyuma n.k.

hahahhahahhahahahah!!! wewe jamaa hili dongo nina uhakika halinipati mimi tu hapa ,hahahahah
 
IVUGA unaweza kuongeza muda wa kuwasilisha pingamizi maana napitia archive yangu kuweka viambatanisho kwanini hii ndoa isifanyike ...sasa muda naona hautoshi maana i WANT TO BUILD A VERY VERY STRONG OBJECTION WITH ENOUGH supporting documents and photos...tafadhali ridhia hili...maana hatuwezi kukoseshana raha mjini hapa kirahisi hivi
heheheheh!!!!
pooa hamna shida binti mwenyewe kasema tuongeze mda uwe zadi ya wiki moja hivi
 
Back
Top Bottom