Natangaza ndoa kati ya Tonykp na 'Valentina'

Natangaza ndoa kati ya Tonykp na 'Valentina'

Hongera mume mpya!
Ukihitaji maelekezo mimba inavyopatikana usisite kutuuliza!
Na zile Srade zenye mabandiko mf. "Baa zenye Mademu bomba!" zipe kadi za njano mbili .
Karibu kwenye mautamu .

Wakaribishe wakaribishe mume wangu
 
Ndugu yangu, una mkeo mzuri tu, wape baraka waliooana ili waongezeke wakaijaze CHIT-CHAT. Ukaguzi siku hizi ni kimya kimya mkuu.

nimekuwa wa kwanza kufanya hivyo! ila ukaguzi ni muhimu ili kama ni mke awe mke kweli
 
Back
Top Bottom