Tonykp
JF-Expert Member
- Dec 18, 2012
- 1,642
- 680
Love doesn't ask why.....
Last edited by a moderator:
Ooooops
hiyo quote ya kitila umeitoa wapi?
Mbona hamuaminiani..,?
Love doesn't ask why.....
Nawakaribisha mamsap !
Lakini ujue wauza sabuni wakiskia n'tu kanikahi (kaoa) wananuna!
Hahahahahaaaaa
Ntafurahi kuwa huru n mke wangu sasa.
Huyo mke ni zawadi yangu kwako!
Afadhali umeliona hili Kaizer mke mwenyewe nimechaguliwa hata Lady doctor anajua sasa kama wake zenu wananipenda. ..i will love em back lol
Acheni kufungisha ndoa feki bana mwacheni kijana ajichagulie....komaa huko bediluum la sivyo utachapiwa na ni siri ya ndani..
nimekuwa wa kwanza kufanya hivyo! ila ukaguzi ni muhimu ili kama ni mke awe mke kweli
Afadhali mke mwenzangu unisaidie kumwambia huyu mume maana naona bado anapepesapepesa macho.
mmmhh!!!!!!