Kwanini couples nyingi za vyuoni huwa hazidumu hadi ndoa na huishia tu siku ya graduation?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,544
108,871
Nakumbuka Na Wengi Wenu Mtakubaliana Nami Kwa Kiasi Fulani Kuwa Humu Vyuoni Huwa Kuna Kuwa Na Couples Nyingi Ambazo Mara Nyingine Hutuaminisha Kuwa Huko Mbeleni Baada Ya Kumaliza Masomo Basi Pia Watakuja Kufunga Ndoa Na Kuishi Pamoja Kama Mume Na Mke Lakini 98.9% Ya Hizi Couples Tunazoziona au Kukutana Nazo Humu Vyuoni Huwa Zinafikia Tu Kikomo Siku Ile Ya MAHAFALI ( Graduation ) Na Baada Ya Pale Tu Kila Mtu Ana CHAPA Zake LAPA Na Ni Chache Sana Ambazo Huja Kuwa Real.

Naomba Kujua Nini Hupelekea Hali Hii? Kuna NJEMBA Moja Nakumbuka Ilikuwa Inatusumbua Sana Skonga Pamoja Na Demu Wake Yaani Kila Kitu Lazima Wafanye Pamoja Na Hata Wakati Mmoja Wapo Anaenda Chooni Basi Mwenzake Ataweka Gadi Nje Kumsubiri Hadi Ikawa Inatukera Sisi MASELA Japo Kiasi Fulani KAWIVU Nako Kalikuwepo Kwani Hii Couple Iliishi Kama Tayari Wameshaooana.

Kichekesho Tumemaliza Tu Kuhitimu Jumamosi Jumatano Ijayo MASELA Tunaletewa Kadi Za Mchango Wa Harusi Wa Yule Demu Na Bwana Mwingine Na Mwezi Mmoja Baadae Tena Tukaletewa Kadi Za Michango Ya Harusi Ya Yule Mwanaume Na Demu Mwingine. Tulihudhuria Hizo Harusi Zao Zote Mbili Ila Kwa Masikitiko Makubwa, Butwaa Na Mikono Ikiwa Shavuni.

Tatizo Huwa Ni Nini? Karibuni MTIRIRIKE Members Na Kipenzi Changu nifah Naomba Upitie Hapa Kwani Nina Uhakika ULIOTUKUKA Kuwa Hata Wewe Ni MHANGA Wa Hii Kitu. Karibu Dada Na Karibuni Nyote!​
 
Leo imekuwaje?Si mimi yuleyule uliyenitukana na kunidhalilisha humu kuwa najipendekeza kwako na hutaki mazoea na mimi?
Unadhani nilifurahi?Niliamua kukaa kimya tu sababu ya ahadi niliyoiweka ya kutokugombana na wewe humu.
cc: Deo Corleone alishuhudia yale matusi na kejeli.
 
Last edited by a moderator:
Pole saana niffah, ila nivema kutafuta namna sahihi ya kuendup tofaut zenu.
 
Tatizo ni age factor ,najua kuna mbulalaz watakuja na mapofu yao hapa kua AGE IS NOTHING BUT NUMBERS BUT ukweli utabaki pale pale , yale mahusiano yanakua matamu chuoni sababu ya ule umri mnaendana na mnakua ammoboani , but inapokuja swala la ndoa ni tofauti wanaume wanapenda wamzidi mwanamke at least 5 to 3 years
 
Leo imekuwaje?Si mimi yuleyule uliyenitukana na kunidhalilisha humu kuwa najipendekeza kwako na hutaki mazoea na mimi?
Unadhani nilifurahi?Niliamua kukaa kimya tu sababu ya ahadi niliyoiweka ya kutokugombana na wewe humu.
cc: Deo Corleone alishuhudia yale matusi na kejeli.

uzoefu unaonesha couple nyng huanza kwa ugomvi.
 
Last edited by a moderator:
Leo imekuwaje?Si mimi yuleyule uliyenitukana na kunidhalilisha humu kuwa najipendekeza kwako na hutaki mazoea na mimi?
Unadhani nilifurahi?Niliamua kukaa kimya tu sababu ya ahadi niliyoiweka ya kutokugombana na wewe humu.
cc: Deo Corleone alishuhudia yale matusi na kejeli.

Imerudi au!
 
Tatizo ni age factor ,najua kuna mbulalaz watakuja na mapofu yao hapa kua AGE IS NOTHING BUT NUMBERS BUT ukweli utabaki pale pale , yale mahusiano yanakua matamu chuoni sababu ya ule umri mnaendana na mnakua ammoboani , but inapokuja swala la ndoa ni tofauti wanaume wanapenda wamzidi mwanamke at least 5 to 3 years
mimi hii nakataa.
Ukikuta watu wenye age sawa maofisini au wanamaisha yao, mara nyingi wanaishia hata ndoa. Hili hili la wanafunzi wa chuo, shida huwa ni kutumiana. Nimemkubali huyu kwasababu atanisaidia kazi za chuo, lunch na kula nae goodtym, baada ya gradu, nitamuhitaji kwa lipi? :hand:
 
Na hata zikidumu na kuikamata ndoa hawawezi kuishi ndoani kwa zaidi ya miaka 10
 
daah hiii ishu ni kweli nakumbuka wakt nko chuo juz kati hapo mitaa ya knyma kuna jamaa mmoja mwana chuo alikua nakamatia demu naye pia mwanchuo mpka wanakaa wote rum moja..maana jamaa alikua amepanga nje ya chuo...daah km kumbikumbi...ila tatzo jamaa alikua m2 wa tottoz,,dem akawa haskii...demu mwenyewe kajazia kwelia afu kitu cha ukweli,,daah lkn baada ya kumaliza chuo asa hv hata kila m2 hajui mwenzake yuko wapi..ila mtoto (demu) asa hv mambo yake supa maana anatembea huku amekaa
 
mimi nimesoma tu heading na jibu ninalo.

wao hawapendani ila wanaongozwa na mihemuko.

Mihemuko haifiki popote.
 
Yanakuwaga ni mapenz ya showOff tu" chuo masomo yakiwa magumu lazma upate kipoozeo.. mkiwa kwenye mapenzi mipango mingi lukuki wakat bdo mnategemea nyumbani...Mapenz ya chuo ni tofautki kabisa na mapenz ya uraiani vrry diffnt kwa tuliowahi pitia tunajua...changamoto za baada ya kumaliza chuo ni nyingi sana kwaio kuendelea kudumu kwa couple ni majaliwa. Distance, Money, New friends, Stress za Kupata kazi"new life outOfCumpus vinachangia"
 
Ugumu wa shule hulaImisha wengine kuwa coupled na baada ya apo umoja hugawanyika
 
Leo imekuwaje?Si mimi yuleyule uliyenitukana na kunidhalilisha humu kuwa najipendekeza kwako na hutaki mazoea na mimi?
Unadhani nilifurahi?Niliamua kukaa kimya tu sababu ya ahadi niliyoiweka ya kutokugombana na wewe humu.
cc: Deo Corleone alishuhudia yale matusi na kejeli.

Wewe nawe ulizidi kujichetua na lowasa wako!!...
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom