Natangaza 'kumdharau' January Makamba rasmi!

Siku hizi ukiitwa mwanachama wa CCM pigana sana,maana neno CCM limekuwa tusi ndani ya jamii,
Limecontain Wizi,Uroho,Uuwaji,Unyonyaji,Ukatiri,Ubedui,Udhurumaji,Utapeli,Umalaya,Ukabaila,Uchawi nk. nk.
Hakuna mwenye nafuu CCM wote wameoza.
 
nawashangaa sana watu wanaodhani kwamba viongozi bora watatoka CCM, kwani hawajui kwamba chama cha siasa ni mkusanyiko wa watu wenye dhamira, lengo na nia moja. Kwahiyo dhamira ya Wasira ni sawa na Januari Makamba, sawa na JK, sawa na Nape, na wanaccm wengine. Kwahiyo sera ya utajirisho kwa njia batili ni dhamira ya wanaccm wote.

Ninatumia kimeo mkuu wa kazi.la sivyo ningegonga like kama 4 ivi..nimependa uliyojenga hii hoja.
 
Speaker na Wana JF,
Aidhaniwe kumbe siye, itabidi tumkumbushe kuwa Uongozi ni Dhamana, na Kiongozi yoyote anatakiwa ajichunge na Kauli zao, maana kauli zao zinaweza Kujenga au Kubomoa.
Nawakilisha

Niliwahi kuandika thread 17 October 2011 kuhusu Makamba.
( https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/183180-january-makamba-mbunge-wa-aina-yake.html )
Nili mpongeza kwa namna nilivo ona anaofanya mambo yake ya kisiasa.

Najuta kumpongeza,nahisi aibu sana,ni kosa ambalo sita lifanya tena
kwa kudhani kuna mtu ndani ya ccm ana "upendo" juu ya Tanzania.

Leo katika facebook page yake kaandika.

Juzi Halima Mdee alisema wazi wazi kwamba makamba ni mnafiki.
Leo nimeamini kwamba ni zaidi ya mnafiki,nahisi ni mchawi
na mroho wa madaraka kupindukia.

Hajawahi kuipenda nchi,wala kuwazia kizuri chochote juu ya Tanzania
ila tumbo lake tu.

Eti watu "wana chonga sana",hizi si dharau hizi?
Kwamba Zitto ana chonga sana?
Kwamba Fulikunjombe na wengineo wanachonga sana,
ila makamba ndie anae jua kila kitu.

Yes,wanao jua mwanzo wa ufisadi na hata mwisho wako
kimya tu,wanakula viyoyozi kwa kushiriki kila msiba
kila kona ya dunia,wana tembelea vituo vyote vya
utalii duniani wala hawana taarifa za mfumuko
wa bei Tanzania.

Hawataki kusema kwanini gharama za maisha ziko juu,
kwani wanajua mwanzo wake ni wao kujitafutia utajiri na
mwisho wake ni watanzania kufa kwa njaa kuteseka
na maisha magumu.

Wanajua mwanzo wa kuibiwa mabilioni ya kodi za watanzania
na wanajua mwisho wake ni watu "kuchonga sana" na wao
kukimbia kwenda kuishi nchi walizo jiandalia kwenda.

Kweli kabisa,watanzania tunachonga sana kwa sababu hatujui
kinacho endelea huko kwenye viyoyozi vyenu,lakini nyie mnajua
sana maana mnacho fanya ni ufuska huku mkijua kifo hakipo.

Endeleeni sana,acha watoto wa maskini wachonge sana,
watetezi wa wanyonge wachonge sana,ila nyie "watafuna nchi"
mkiwa mnajua mwanzo na mwisho wa kila kitu.

Hakika,siku yenu inakuja,namuomba Mungu nisife hadi niione.
 
Unfortunately nimekuwa na bahati mbaya sana kuwa tamko langu la kwanza kuhusu wanasiasa wengi huwa linaendelea kubaki sahihi kwa muda mrefu sana.

(a) Mwaka 2004 nilisema kuwa Kikwete hawezi kuongoza baada ya kuangalia background history yake niliyokuwa nafahamu vizuri. wakati huo nilipingwa sana na wachangiaji wengi wakati tungali kule BCSTimes forum. Leo hii karibu miaka minane tangu nisema vile, na Kikwete alishaupata urais, lakini ukweli kuwa hawezi kuongoza haujabadilika.

(b) Mwaka 2009 niliandika hapa kuwa Januari hawezi kuongoza baada ya kuangalia kuwa ameingizwa kwenye siasa kwa kurithishwa na baba yake, na uongozi wa namna hiyo huwa ni dhaifu sana ukiwa unaangalia maslahi binafsi tu. Kuna watu waliopinga sana hasa kwa kutumia kigezo kuwa yeye kama raia ana haki ya kuwa kiongozi kama mtanzania yeyote. Ukweli wangu unabaki pale pale, njia anayotumia kuwa kiongozi ndiyo inayomfanya asiwe kiongozi mzuri; unfortunately hali inatendelea vivyo hivyo kwa muda mrefu sana kama ambavyo imebaki hivyo kwa Kikwete.
 
January Hajawahi kuwa mtu wa maana hata siku moja fuatilia hata wakati alipokuwa speech writer wa msanii mwenzeke alikuwa akidesa kwenye net bila kutambua mawazo ya wegine and that is disgrace. kumbuka muhogo huwezi kuwa kiazi mwana wa nyoka ni nyoka
 
Brother January yupo jirani na Brother wa Magogoni. Anavosema watu wanachonga hawaelewi kinachoendelea nikweli hatuelewi kinachoendelea!!!! Habari ni kwamba huu mchexo umechexwa na wana ccm Vilaxa wanaofikiri kuwa wao ndio majembe kumbe hamnaxo, Plan iliyopo ni kumng'oa mtoto wa Mkulima kwenye baraxa jipya la mawaxiri na kumuweka Dr. Asha ROxi Migiro!!! Saivi watanxania tunaxubaishwa kwamba mawaxiri wameiba waxiri mkuu hachukui maamuxi yeyote kumbe mchexo.

Msini nite tofauti, mawaxiri wameiba kweli, hapa simtetei mtoto wa mtu!!! Wameiba kweli na mtoto wa mkulima analopoka kuahidi kuchukua maamuxi lakini hakuna kinachofanyika!! Mama Rose Migiro anachukua U PM ili 2015 akitaka Urais tumwage vixuri......

Makamba unajua unachokisema, kwani si ndio huyu huyu aliemwambia Lema miexi mingi kabla ya hukumu ya kesi yake kwamba utanyang'anywa ubunge na ikawa hivyo!!!
 
Niliwahi kuandika thread 17 October 2011 kuhusu Makamba.
( https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/183180-january-makamba-mbunge-wa-aina-yake.html )
Nili mpongeza kwa namna nilivo ona anaofanya mambo yake ya kisiasa.

Najuta kumpongeza,nahisi aibu sana,ni kosa ambalo sita lifanya tena
kwa kudhani kuna mtu ndani ya ccm ana "upendo" juu ya Tanzania.

Leo katika facebook page yake kaandika.

Juzi Halima Mdee alisema wazi wazi kwamba makamba ni mnafiki.
Leo nimeamini kwamba ni zaidi ya mnafiki,nahisi ni mchawi
na mroho wa madaraka kupindukia.

Hajawahi kuipenda nchi,wala kuwazia kizuri chochote juu ya Tanzania
ila tumbo lake tu.

Eti watu "wana chonga sana",hizi si dharau hizi?
Kwamba Zitto ana chonga sana?
Kwamba Fulikunjombe na wengineo wanachonga sana,
ila makamba ndie anae jua kila kitu.

Yes,wanao jua mwanzo wa ufisadi na hata mwisho wako
kimya tu,wanakula viyoyozi kwa kushiriki kila msiba
kila kona ya dunia,wana tembelea vituo vyote vya
utalii duniani wala hawana taarifa za mfumuko
wa bei Tanzania.

Hawataki kusema kwanini gharama za maisha ziko juu,
kwani wanajua mwanzo wake ni wao kujitafutia utajiri na
mwisho wake ni watanzania kufa kwa njaa kuteseka
na maisha magumu.

Wanajua mwanzo wa kuibiwa mabilioni ya kodi za watanzania
na wanajua mwisho wake ni watu "kuchonga sana" na wao
kukimbia kwenda kuishi nchi walizo jiandalia kwenda.

Kweli kabisa,watanzania tunachonga sana kwa sababu hatujui
kinacho endelea huko kwenye viyoyozi vyenu,lakini nyie mnajua
sana maana mnacho fanya ni ufuska huku mkijua kifo hakipo.

Endeleeni sana,acha watoto wa maskini wachonge sana,
watetezi wa wanyonge wachonge sana,ila nyie "watafuna nchi"
mkiwa mnajua mwanzo na mwisho wa kila kitu.

Hakika,siku yenu inakuja,namuomba Mungu nisife hadi niione.

We feel you dude! And we dig every damn single word you wrote. Word up! KIMEI AND CO, AT CRDB, TIB, AND WHEREVER, YOU'ALL BETTER BE PREPARED 'CAUSE YOUR DAYS ARE NUMBERED, MOTHER****ERS!!!
 
Unfortunately nimekuwa na bahati mbaya sana kuwa tamko langu la kwanza kuhusu wanasiasa wengi huwa linaendelea kubaki sahihi kwa muda mrefu sana.

(a) Mwaka 2004 nilisema kuwa Kikwete hawezi kuongoza baada ya kuangalia background history yake niliyokuwa nafahamu vizuri. wakati huo nilipingwa sana na wachangiaji wengi wakati tungali kule BCSTimes forum. Leo hii karibu miaka minane tangu nisema vile, na Kikwete alishaupata urais, lakini ukweli kuwa hawezi kuongoza haujabadilika.

(b) Mwaka 2009 niliandika hapa kuwa Januari hawezi kuongoza baada ya kuangalia kuwa ameingizwa kwenye siasa kwa kurithishwa na baba yake, na uongozi wa namna hiyo huwa ni dhaifu sana ukiwa unaangalia maslahi binafsi tu. Kuna watu waliopinga sana hasa kwa kutumia kigezo kuwa yeye kama raia ana haki ya kuwa kiongozi kama mtanzania yeyote. Ukweli wangu unabaki pale pale, njia anayotumia kuwa kiongozi ndiyo inayomfanya asiwe kiongozi mzuri; unfortunately hali inatendelea vivyo hivyo kwa muda mrefu sana kama ambavyo imebaki hivyo kwa Kikwete.

Nakumbuka sana yale maneno yako..............ni ujinga sana kuchagua watu kwenye nafasi nyeti za Kitaifa kwa kuangalia sura zao.....ambazo zimejaa usanii wa hali ya juu kwa pretence ya uongozi bora/smart......hatimaye tulimchagua JK kwa pretence za kila aina..........kama kuna watu ambao wanapenya through the cracks of our system January ni mmoja wao........
 
jan.jpg

Hapa naongea na babu yake Mzee Shemvilu akimhadithia jinsi M4C ilivoshika kasi nchini. Si unajua waliwahi kusrma KIDUMU CHAMA CHA MA......!
 
Huyo si ndio alihujumu project ya SUGU ya malaria na kumpelekea Ruge na kisha kuwaunganisha CLouds na JK na kupata ile studio na baadae eti mumuandalia mkwere Birthday yake. Alipojifanya kUjipendekeza kwa SUGU akamchana live Kwamba yeye ni mnafiki
 
Jambo la msingi ni kuichukia CCM yote kabisa. Hakuna yeyote ndani ya CCM atakayewezi leta mabadiliko.
 
Niliwahi kuandika thread 17 October 2011 kuhusu Makamba.
( https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/183180-january-makamba-mbunge-wa-aina-yake.html )
Nili mpongeza kwa namna nilivo ona anaofanya mambo yake ya kisiasa.

Najuta kumpongeza,nahisi aibu sana,ni kosa ambalo sita lifanya tena
kwa kudhani kuna mtu ndani ya ccm ana "upendo" juu ya Tanzania.

Leo katika facebook page yake kaandika.

Juzi Halima Mdee alisema wazi wazi kwamba makamba ni mnafiki.
Leo nimeamini kwamba ni zaidi ya mnafiki,nahisi ni mchawi
na mroho wa madaraka kupindukia.

Hajawahi kuipenda nchi,wala kuwazia kizuri chochote juu ya Tanzania
ila tumbo lake tu.

Eti watu "wana chonga sana",hizi si dharau hizi?
Kwamba Zitto ana chonga sana?
Kwamba Fulikunjombe na wengineo wanachonga sana,
ila makamba ndie anae jua kila kitu.

Yes,wanao jua mwanzo wa ufisadi na hata mwisho wako
kimya tu,wanakula viyoyozi kwa kushiriki kila msiba
kila kona ya dunia,wana tembelea vituo vyote vya
utalii duniani wala hawana taarifa za mfumuko
wa bei Tanzania.

Hawataki kusema kwanini gharama za maisha ziko juu,
kwani wanajua mwanzo wake ni wao kujitafutia utajiri na
mwisho wake ni watanzania kufa kwa njaa kuteseka
na maisha magumu.

Wanajua mwanzo wa kuibiwa mabilioni ya kodi za watanzania
na wanajua mwisho wake ni watu "kuchonga sana" na wao
kukimbia kwenda kuishi nchi walizo jiandalia kwenda.

Kweli kabisa,watanzania tunachonga sana kwa sababu hatujui
kinacho endelea huko kwenye viyoyozi vyenu,lakini nyie mnajua
sana maana mnacho fanya ni ufuska huku mkijua kifo hakipo.

Endeleeni sana,acha watoto wa maskini wachonge sana,
watetezi wa wanyonge wachonge sana,ila nyie "watafuna nchi"
mkiwa mnajua mwanzo na mwisho wa kila kitu.

Hakika,siku yenu inakuja,namuomba Mungu nisife hadi niione.

January ndio kopa ya ccm. ni kijana mjuaji wa mambo , ni msomi na kijana mahiri, anaongea kwa kuchagua maneno...sijaona ubaya na unachosema wakati yeye ni mwana siasa kama wengine..ni kawaida ya wanasiasa kupigana vijembe..Subiri January akiwa katika 5 bora za ccm
 
Leo kaamua kuvunja kanuni kabisa naona kwa kujua kaamua kufanya matangazo kuwa miaka ijayo atakumbukwa kwa comdey zake za leo za kuchapisha kijalida cha rangi na kukitumbukiza ndani ya gazeti la Uhuru.Najiuliza ni kwa pesa ya nani hiyo?oka lini kukawa na kampeni kabla ya muda au keshajijua na hata humu jamii forums niliona wamepandisha Tangazo lake la dogo Jemve sijua kilitokea nini wakalitoa nilishaona lilikwisha anza kuonekana juu kama Banner.

Hakika kuna matumzi ya pesa unaoji kama ni NAIBU waziri ana milki ukwasi hivyo angekuwa waziri ingekuwaje...Kuna tataizo somewhere kuhusu jinsi watu wanavyomiliki Pesa Nchini mwetu...na watu wanachukulia poa as if its not a big deal...yani wengine wasionazo wakisema ni wivu wa kike unawasumbuea.Lakini mshahara wa naibu waziri unaweza kweli kufanya vituko hivyo vikubwa kwenye media industries haaaa iko siku watanzania watajua ukweli.

Yatima akibaki mikononi mwa mlezi ukua akiwa anaamini kuwa anae mlea ndio baba au mama yake ..sasa akikua kuna siku dhamira itamwambia UKWELI na wanaojua UKWELI watausema kumwambia aliyekulea ni MLEZI tu ila Baba na Mama walikuwa fulani na fulani.Hivyo kwa sasa hatutajua ila kuna siku tutajua ukweli.
 
Huyu dogo anapeta katika 5 bora...na usishangae ndio akawa mgombea wa ccm..hakuna kama yeye. Kama kweli tunataka tanzania ileeeeee...basi huu ni wakati wa kijana JAnuary atupeleke...
Tukingangani wachofu na zilependwa au old guards...tutabaki hapa hapa....
Kenye juzi wameshusha train engine mpya za mwendo wa kasi...kutoka NAirobi mpaka Mombasa ni 3 hours tu....
Tutafika hatua hio tukipata mtu mwenye wivu wa maendeleo ya kisasa ..na huyo no Makamba pekeee
 
Niliwahi kuandika thread 17 October 2011 kuhusu Makamba.
( https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/183180-january-makamba-mbunge-wa-aina-yake.html )
Nili mpongeza kwa namna nilivo ona anaofanya mambo yake ya kisiasa.

Najuta kumpongeza,nahisi aibu sana,ni kosa ambalo sita lifanya tena
kwa kudhani kuna mtu ndani ya ccm ana "upendo" juu ya Tanzania.

Leo katika facebook page yake kaandika.

Juzi Halima Mdee alisema wazi wazi kwamba makamba ni mnafiki.
Leo nimeamini kwamba ni zaidi ya mnafiki,nahisi ni mchawi
na mroho wa madaraka kupindukia.

Hajawahi kuipenda nchi,wala kuwazia kizuri chochote juu ya Tanzania
ila tumbo lake tu.

Eti watu "wana chonga sana",hizi si dharau hizi?
Kwamba Zitto ana chonga sana?
Kwamba Fulikunjombe na wengineo wanachonga sana,
ila makamba ndie anae jua kila kitu.

Yes,wanao jua mwanzo wa ufisadi na hata mwisho wako
kimya tu,wanakula viyoyozi kwa kushiriki kila msiba
kila kona ya dunia,wana tembelea vituo vyote vya
utalii duniani wala hawana taarifa za mfumuko
wa bei Tanzania.

Hawataki kusema kwanini gharama za maisha ziko juu,
kwani wanajua mwanzo wake ni wao kujitafutia utajiri na
mwisho wake ni watanzania kufa kwa njaa kuteseka
na maisha magumu.

Wanajua mwanzo wa kuibiwa mabilioni ya kodi za watanzania
na wanajua mwisho wake ni watu "kuchonga sana" na wao
kukimbia kwenda kuishi nchi walizo jiandalia kwenda.

Kweli kabisa,watanzania tunachonga sana kwa sababu hatujui
kinacho endelea huko kwenye viyoyozi vyenu,lakini nyie mnajua
sana maana mnacho fanya ni ufuska huku mkijua kifo hakipo.

Endeleeni sana,acha watoto wa maskini wachonge sana,
watetezi wa wanyonge wachonge sana,ila nyie "watafuna nchi"
mkiwa mnajua mwanzo na mwisho wa kila kitu.

Hakika,siku yenu inakuja,namuomba Mungu nisife hadi niione.

Pole sana mkuu nakumbuka ulipata manekukudharau kutoka kwa baadh ya wachangiaj kukudharau, kumbe mkuu lunyungu alikuwa na maono
 
Back
Top Bottom