Natangaza 'kumdharau' January Makamba rasmi!

Niliwahi kuandika thread 17 October 2011 kuhusu Makamba.
( https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/183180-january-makamba-mbunge-wa-aina-yake.html )
Nili mpongeza kwa namna nilivo ona anaofanya mambo yake ya kisiasa.

Najuta kumpongeza,nahisi aibu sana,ni kosa ambalo sita lifanya tena
kwa kudhani kuna mtu ndani ya ccm ana "upendo" juu ya Tanzania.

Leo katika facebook page yake kaandika.


Juzi Halima Mdee alisema wazi wazi kwamba makamba ni mnafiki.
Leo nimeamini kwamba ni zaidi ya mnafiki,nahisi ni mchawi
na mroho wa madaraka kupindukia.

Hajawahi kuipenda nchi,wala kuwazia kizuri chochote juu ya Tanzania
ila tumbo lake tu.

Eti watu "wana chonga sana",hizi si dharau hizi?
Kwamba Zitto ana chonga sana?
Kwamba Fulikunjombe na wengineo wanachonga sana,
ila makamba ndie anae jua kila kitu.

Yes,wanao jua mwanzo wa ufisadi na hata mwisho wako
kimya tu,wanakula viyoyozi kwa kushiriki kila msiba
kila kona ya dunia,wana tembelea vituo vyote vya
utalii duniani wala hawana taarifa za mfumuko
wa bei Tanzania.

Hawataki kusema kwanini gharama za maisha ziko juu,
kwani wanajua mwanzo wake ni wao kujitafutia utajiri na
mwisho wake ni watanzania kufa kwa njaa kuteseka
na maisha magumu.

Wanajua mwanzo wa kuibiwa mabilioni ya kodi za watanzania
na wanajua mwisho wake ni watu "kuchonga sana" na wao
kukimbia kwenda kuishi nchi walizo jiandalia kwenda.

Kweli kabisa,watanzania tunachonga sana kwa sababu hatujui
kinacho endelea huko kwenye viyoyozi vyenu,lakini nyie mnajua
sana maana mnacho fanya ni ufuska huku mkijua kifo hakipo.

Endeleeni sana,acha watoto wa maskini wachonge sana,
watetezi wa wanyonge wachonge sana,ila nyie "watafuna nchi"
mkiwa mnajua mwanzo na mwisho wa kila kitu.

Hakika,siku yenu inakuja,namuomba Mungu nisife hadi niione.
Duuuh, maneno mazito sana kwa January kwani Kafanyaje mtu wangu, mbona kuuchonga sifa tu!...
 
HUYO JANUARY MaGAMBA NI MNAFIKI NA MCHAWI TOKA ZAMANI

Hapa Ruttashobolwa alikuwa bado Hajaugua Ugonjwa wa Akili.
Ama alikuwa hajakalia Dudu bado ambalo baada ya kulikalia amejisahahu kabisa kwa Raha aliyopata Mpaka kujikuta Uwezo wake ki Fikra unafikia tamati
 
Last edited by a moderator:
Brother January yupo jirani na Brother wa Magogoni. Anavosema watu wanachonga hawaelewi kinachoendelea nikweli hatuelewi kinachoendelea!!!! Habari ni kwamba huu mchexo umechexwa na wana ccm Vilaxa wanaofikiri kuwa wao ndio majembe kumbe hamnaxo, Plan iliyopo ni kumng'oa mtoto wa Mkulima kwenye baraxa jipya la mawaxiri na kumuweka Dr. Asha ROxi Migiro!!! Saivi watanxania tunaxubaishwa kwamba mawaxiri wameiba waxiri mkuu hachukui maamuxi yeyote kumbe mchexo.

Msini nite tofauti, mawaxiri wameiba kweli, hapa simtetei mtoto wa mtu!!! Wameiba kweli na mtoto wa mkulima analopoka kuahidi kuchukua maamuxi lakini hakuna kinachofanyika!! Mama Rose Migiro anachukua U PM ili 2015 akitaka Urais tumwage vixuri......

Makamba unajua unachokisema, kwani si ndio huyu huyu aliemwambia Lema miexi mingi kabla ya hukumu ya kesi yake kwamba utanyang'anywa ubunge na ikawa hivyo!!!

Hivi wewe kiswahili umesomea wapi? Au unafikiri ni ujanja kutumia hizo "x"?
hadi hapa nakuvalue kama MBULULA
 
hata hivyo umechelewa kumdharau ilitakiwa utambue kuwa jamaa ilistahili kudharauliwa kitambo
 
makamba hatajwi tena
Nape kamtumia na kumtupa kam condom

1436474299586.jpg
Unataka atajwe nani tena. ...!?
 
Na wewe huwezi kunilazimisha nimpende hata kama alijieleza vizuri wakati wa kutafuta wadhamini yupo mwigulu best zaidi yake japokuwa nae mkorofi alinikera kwakuchanachana bajeti mbadala ya upinzani

Hahaaaa akikukera unaleta janja ya nyani Ukubali January amewapiga bao. ... 1436474829841.jpg
Utachekea chooni tu hakuna namna. ...
 
ccm wanawahadaa wananchi kwa kujifanya hawamtaki lowasa nahofia lowasa kupita ccm.. lakin sihofii ccm kuchukua kiti cha urais tena
 
Leo kaamua kuvunja kanuni kabisa naona kwa kujua kaamua kufanya matangazo kuwa miaka ijayo atakumbukwa kwa comdey zake za leo za kuchapisha kijalida cha rangi na kukitumbukiza ndani ya gazeti la Uhuru.Najiuliza ni kwa pesa ya nani hiyo?oka lini kukawa na kampeni kabla ya muda au keshajijua na hata humu jamii forums niliona wamepandisha Tangazo lake la dogo Jemve sijua kilitokea nini wakalitoa nilishaona lilikwisha anza kuonekana juu kama Banner.

Hakika kuna matumzi ya pesa unaoji kama ni NAIBU waziri ana milki ukwasi hivyo angekuwa waziri ingekuwaje...Kuna tataizo somewhere kuhusu jinsi watu wanavyomiliki Pesa Nchini mwetu...na watu wanachukulia poa as if its not a big deal...yani wengine wasionazo wakisema ni wivu wa kike unawasumbuea.Lakini mshahara wa naibu waziri unaweza kweli kufanya vituko hivyo vikubwa kwenye media industries haaaa iko siku watanzania watajua ukweli.

Yatima akibaki mikononi mwa mlezi ukua akiwa anaamini kuwa anae mlea ndio baba au mama yake ..sasa akikua kuna siku dhamira itamwambia UKWELI na wanaojua UKWELI watausema kumwambia aliyekulea ni MLEZI tu ila Baba na Mama walikuwa fulani na fulani.Hivyo kwa sasa hatutajua ila kuna siku tutajua ukweli.

Mbona kama mnatetemeka sana.....Baada ya muda mfupi pumba na mchele vitajitenga na mtapotea humu ndani kimyakimya.
poleni kizazi cha Mvi Nyeupe
 
Back
Top Bottom