Natangaza 'kumdharau' January Makamba rasmi!

Hapa Ruttashobolwa alikuwa bado Hajaugua Ugonjwa wa Akili.
Ama alikuwa hajakalia Dudu bado ambalo baada ya kulikalia amejisahahu kabisa kwa Raha aliyopata Mpaka kujikuta Uwezo wake ki Fikra unafikia tamati

we umekalia mara ngapi
 
Last edited by a moderator:
Niliwahi kuandika thread 17 October 2011 kuhusu Makamba.
( https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/183180-january-makamba-mbunge-wa-aina-yake.html )
Nili mpongeza kwa namna nilivo ona anaofanya mambo yake ya kisiasa.

Najuta kumpongeza,nahisi aibu sana,ni kosa ambalo sita lifanya tena
kwa kudhani kuna mtu ndani ya ccm ana "upendo" juu ya Tanzania.

Leo katika facebook page yake kaandika.

Juzi Halima Mdee alisema wazi wazi kwamba makamba ni mnafiki.
Leo nimeamini kwamba ni zaidi ya mnafiki,nahisi ni mchawi
na mroho wa madaraka kupindukia.

Hajawahi kuipenda nchi,wala kuwazia kizuri chochote juu ya Tanzania
ila tumbo lake tu.

Eti watu "wana chonga sana",hizi si dharau hizi?
Kwamba Zitto ana chonga sana?
Kwamba Fulikunjombe na wengineo wanachonga sana,
ila makamba ndie anae jua kila kitu.

Yes,wanao jua mwanzo wa ufisadi na hata mwisho wako
kimya tu,wanakula viyoyozi kwa kushiriki kila msiba
kila kona ya dunia,wana tembelea vituo vyote vya
utalii duniani wala hawana taarifa za mfumuko
wa bei Tanzania.

Hawataki kusema kwanini gharama za maisha ziko juu,
kwani wanajua mwanzo wake ni wao kujitafutia utajiri na
mwisho wake ni watanzania kufa kwa njaa kuteseka
na maisha magumu.

Wanajua mwanzo wa kuibiwa mabilioni ya kodi za watanzania
na wanajua mwisho wake ni watu "kuchonga sana" na wao
kukimbia kwenda kuishi nchi walizo jiandalia kwenda.

Kweli kabisa,watanzania tunachonga sana kwa sababu hatujui
kinacho endelea huko kwenye viyoyozi vyenu,lakini nyie mnajua
sana maana mnacho fanya ni ufuska huku mkijua kifo hakipo.

Endeleeni sana,acha watoto wa maskini wachonge sana,
watetezi wa wanyonge wachonge sana,ila nyie "watafuna nchi"
mkiwa mnajua mwanzo na mwisho wa kila kitu.

Hakika,siku yenu inakuja,namuomba Mungu nisife hadi niione.

Unaweza sana kuumba maneno, Jirahidi Bongo Muvi itakutoa
 
Ndugu yangu viongozi wa serikali hii ni tatizo,kuna kiongozi mkuu aliwahi kusema kuwa hajui sababu inayowafanya watanzania kuwa masikini.
 
Nimesoma maelezo ya mtoa mada nikachangia unataka nitoe hoja gani tena ndugu yangu haya niambie wewe ili niweze kuchangia ish!

1436477672534.jpg dhambi ya chuki ni Umauti mtoa mada amekulisha chuki eeeh...sanuka wewe
 
Niliwahi kuandika thread 17 October 2011 kuhusu Makamba.
( https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/183180-january-makamba-mbunge-wa-aina-yake.html )
Nili mpongeza kwa namna nilivo ona anaofanya mambo yake ya kisiasa.

Najuta kumpongeza,nahisi aibu sana,ni kosa ambalo sita lifanya tena
kwa kudhani kuna mtu ndani ya ccm ana "upendo" juu ya Tanzania.

Leo katika facebook page yake kaandika.

Juzi Halima Mdee alisema wazi wazi kwamba makamba ni mnafiki.
Leo nimeamini kwamba ni zaidi ya mnafiki,nahisi ni mchawi
na mroho wa madaraka kupindukia.

Hajawahi kuipenda nchi,wala kuwazia kizuri chochote juu ya Tanzania
ila tumbo lake tu.

Eti watu "wana chonga sana",hizi si dharau hizi?
Kwamba Zitto ana chonga sana?
Kwamba Fulikunjombe na wengineo wanachonga sana,
ila makamba ndie anae jua kila kitu.

Yes,wanao jua mwanzo wa ufisadi na hata mwisho wako
kimya tu,wanakula viyoyozi kwa kushiriki kila msiba
kila kona ya dunia,wana tembelea vituo vyote vya
utalii duniani wala hawana taarifa za mfumuko
wa bei Tanzania.

Hawataki kusema kwanini gharama za maisha ziko juu,
kwani wanajua mwanzo wake ni wao kujitafutia utajiri na
mwisho wake ni watanzania kufa kwa njaa kuteseka
na maisha magumu.

Wanajua mwanzo wa kuibiwa mabilioni ya kodi za watanzania
na wanajua mwisho wake ni watu "kuchonga sana" na wao
kukimbia kwenda kuishi nchi walizo jiandalia kwenda.

Kweli kabisa,watanzania tunachonga sana kwa sababu hatujui
kinacho endelea huko kwenye viyoyozi vyenu,lakini nyie mnajua
sana maana mnacho fanya ni ufuska huku mkijua kifo hakipo.

Endeleeni sana,acha watoto wa maskini wachonge sana,
watetezi wa wanyonge wachonge sana,ila nyie "watafuna nchi"
mkiwa mnajua mwanzo na mwisho wa kila kitu.

Hakika,siku yenu inakuja,namuomba Mungu nisife hadi niione.

mkuu nimekupa like kimakosa baada ya kuona umemtaja yuda humu.subir niirudishe like yangu
 
Muda na majira yanawaumbua wengi subirini wapunguzwe tutasikia mengi sana tu! Hizo gharama walizotumia baadhi yao sijui watazilipizia wapi! Makamba mburulaziiiiiii
 
Sina ndugu mwenye upeo mdogo wa kufikiri kama wewe

Upeo wako mkubwa na hao ndugu zako mimi siujui mpaka wa kwangu uwe mdogo mimi sitajikita sana juu ya analytical exposure uliyonayo wewe na hao ndugu zako simply kwa sababu umeniuliza swali nimekujibu sasa sijui ulitaka nikujibuje siku nyingine ukitaka nikujibu unavyotaka try to ask leading questions?
 
umepaniki blaza.....😂😂
 
sikutaka kuamka saa nane usiku kwa ajili ya kitambulisho cha kupigia kura maana sikuona umuhimu wakufanya hvyoo...nilitoka zangu asubuhi kabisa na kupata kitambulisho changu....nia ni kumuweka slaa madarakani 2015 awe raic wangu.....wizi wa wanaccm kwa taifa ili, uroho wa madaraka, kuachiana nafac za uongoz rushwa na utendaji mbovu wa serikali c January makamba tu wakuangaliwa ata hao wenzake hakuna wa afadhali....
 
Huyo jamaa hamna kitu kabisa, tena ni mnafki mkubwa sana, nashangaa watu wasiomjua wanavomshadadia yan wanamuona bonge la mtu, J MAKAMBA hafai hata uenyekiti wakijiji angejikitatu katika uandish wa habari, kama kuna anaepingana namimi afuatilie maisha duni aliyopeleka katika jimbo lake la BUMBULI, yan amerudisha maisha ya watu nyuma kama ndo kwanza miaka ya 64, anadeni kubwa sana na maisha ya watu wa bumbuli kuwatoa alipowapeleka na sijui atalipia wapi hilo deni. JANUARY JANUARY JANUARY wewe sio kiongozi una forc, kumbuka kila mtu anakarama yake, ila yeye haipo katika uongozi.
 
Back
Top Bottom