Natangaza kuivunja ndoa ya Baba V na Mama V

Natangaza kuivunja ndoa ya Baba V na Mama V

miss you toooo wii
ni ubize kidogo wa majukumu niliyopata ndo
maana natoka na kuingia kwa mbali humu ndani
ila yakiisha nitajitahidi kurejea kwenye kipenka changu
Wii mambo,now days umekua mali adimu,miss ya
 
Hahahahahaha,sikutegemea this morning kucheka hivi

cc Erickb52 switie em njo utengue kauli hii fasta.
Kupenda chongo huita kengeza, kuna siku utamkuta juu ya kifua cha mwanamke mwenzio anakatika utasema anatania pia
 
Last edited by a moderator:
is it me missing Mr Rocky or you missing Heaven on earth!!!!

discuss

Both are the answer and we can say that we missed each other dearly
How u doing my dear Heaven on earth
hope your weekend was fabs

Poa sana kaka binamu,salimia mke na watoto
Zimefika my dear Chocs
Mwambie Erickb52 hiyo dear hapo ni ya upendo wa binamu

Teh teh teh,nlifkiri nshakupoteza my binamu

hapana binamu huwezi nipoteza aise nimejaa tele hapa kuna kamtu kanaitwa stevoh kananisumbua sana
 
Last edited by a moderator:
Haya binamu..
Both are the answer and we can say that we missed each other dearly
How u doing my dear Heaven on earth
hope your weekend was fabs

Zimefika my dear Chocs
Mwambie Erickb52 hiyo dear hapo ni ya upendo wa binamu

hapana binamu huwezi nipoteza aise nimejaa tele hapa kuna kamtu kanaitwa stevoh kananisumbua sana
 
Last edited by a moderator:
huna mke na ndo mana waleta majanga humu ndani bora ujing'atue hicho kiti mapema kabla hujang'atuliwa hapa
Kwa hiyo ulitaka mwenyekiti nisiwe na mke? You can't be serious, usiku mrefu mama
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom