wanatumia device moja kuwa online lol!
Akioa ujue uenyekiti nao unamkimbia,halafu uwe unanitajia singles humu we si ndo mkaguzi,mana Heaven on earth nahisi ananipa maneno matamu ila si wangu
Hivi unajua akioa kitu kipya halafu ukute huyo Mama v anaexist nini kitatokea?? Usiombe yakukute mpenzi.
![]()
Hatareeee!!!
Ingia chumbani fasta utanikuta.
Akioa ujue uenyekiti nao unamkimbia,halafu uwe unanitajia singles humu we si ndo mkaguzi,mana Heaven on earth nahisi ananipa maneno matamu ila si wangu
bado mpo chumbani tu dear?
Hivi unajua kuwa unachokifanya ni uhaini.!?
Wameshamaliza, wapo bafuni...