Natangaza kuivunja ndoa ya Baba V na Mama V

Natangaza kuivunja ndoa ya Baba V na Mama V

Gusa hicho kinyota hapo then ufuate maelekezo mkuu. Afu kwanini umefunga chumba kwa kofuli?

Muda mwingi sishindi nyumbani ndo maana huwa nafunga chumba changu ili wapangaji wenzangu wasije wakanifanyia ya kufanya! teh

Asante kwa maelekezo . . . . ngoja nifanye jaribio!
 
Muda mwingi sishindi nyumbani ndo maana huwa nafunga chumba changu ili wapangaji wenzangu wasije wakanifanyia ya kufanya! teh

Asante kwa maelekezo . . . . ngoja nifanye jaribio!

Nimeshaipata, ahsante sana. Pia nimepokea toka kwa kabanga, ahsanteni sana! Pia naomba ruksa ya kukupigia kwa kuwa namba yako bado ninayo ila nina adabu sana, siwezi kutwanga tu bila ruksa! By the way mke wangu Lady doctor kanipa ruksa ya kukupigia nasubiri final say from you!
 
Last edited by a moderator:

mmmmmmmmmmhhhhhh!!!!!!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Umeamua kunivunjia heshima... nakuweka kwenye orodha yangu maalumu..

Natangaza kiama chako soon! Naona mazoea dhidi ya mke wangu Lady doctor yameshavuka mpaka mkuu!

redduster.jpg

missile.jpg

ak_47_l3.jpg

images

Ushanichosha! I will deal with you!
CC: My everything Lady doctor.
​
 
Last edited by a moderator:
Sweetie namwona Avemaria anakupiga mkwara eti angekuwa na roho mbaya...lol
Aishie zake...eti ana maanisha angenichukua eboooo
Mwambie kwani dushelele langu linaisha?
Tena unavyozidi kulinoa ndivyo linavyozidi kuwa na makali!!

Atishiwi nyau mtu hapa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom