Natambulisha Live Online Tv kwenu

Natambulisha Live Online Tv kwenu

Tupo katika kipindi cha kufanya maboresho makubwa, kuna channel za zamani zimeacha kuonyesha baada ya kuingeza channels nyingine tunalishughulikia hilo.
 
Poa pambaneni ya ela yote basi aisee tunakosa vitu vingi
 
Tupo katika kipindi cha kufanya maboresho makubwa, kuna channel za zamani zimeacha kuonyesha baada ya kuingeza channels nyingine tunalishughulikia hilo.
[emoji856][emoji856] noma sana mkuuuu sisi wambal tunakosa vitu vingi sana
 
kama imeshindikana kuzirudisha channel za azam wangeziondoa zibaki zile zinazofanyakazi
 
Hamna kitu hapa nilikua naitumia kuchek ligi ya bongo lakini sasa hivi chenga tu.
Ngoja nikai unistall
 
Back
Top Bottom