Leloo June
JF-Expert Member
- May 5, 2016
- 1,015
- 947
MKUU MIMI TAYARI NIMESHAINSTALL KWENYE SIMU YANGU ILA NIKIIFUNGUA NASIKIA SAUTI TU SIONI KITU.Jamani kwa heshima na unyenyekevu mwingi, nimetengeneza application ya kutazama live Tv online lakini bado sijaiweka Play store kwa hiyo unaweza ukaidownload kwa kubonyeza link hiyo chini, Kuna channel zaidi ya 20, zikiwemo azam one,azam two,Azam sports HD, Super Sport 1,2,3, na nyingine nyingi, unapo-install itabidi uruhusu instalation from unknown sources, kwa kuwa haijawekwa bado play store na pia maboresho yanaendelea Download Online Tv