Kanye2016
JF-Expert Member
- Jun 4, 2016
- 3,019
- 3,201
Mi nashauri wangetulia kwanza, wakaamua wafanye kitu kimoja kama ni Tv waifanyie kazi hyo mpaka ikamilike maana ishu ya leo channel inaonyesha kesho haionyeshi inazingua, bora wakatafuta ,means ya kuzifanya ziwe live all the time.
Pili wangeweka means ya kuweza kutoa matangazo either kwa kulipia au namna nyengine ili wale ambao wanachukizwa na zile Pop up ads waweze kutatuliwa.
Tatu watupe tricks na tips za kufanya channel zisiwe zina nata nata kila baada ya muda, pia ingesaidia