Natambulisha Live Online Tv kwenu

Natambulisha Live Online Tv kwenu

Ishu ni vikwazo vya kisheria ambavyo vinaleta changamoto.
Mkuu azam ni jipu,walijinasibu wanakuja kuwa wakombozi wa wanyonge lkn ni tofauti,inakaribia miezi 2 ss hawapo online,ukiwatwfuta wanakupa option ya kulipia ili uweze kuwaona live stream,ulitufanyia fair kwa sie ambao hatupo huko lkn ndio hivyo tena,ahsante sana mkuu kwa jitihada zako,japo ndio hivyo tena
 
Wanasema unatakiwa utumie njia ipi kulipia
 
Ok nashukuru kwa kunifahamisha hilo mkuu
5999b6f0003a9689320792e6417909ba.jpg
wasiliana nao kwa namba hizo
 
Ahsante kwa mrejesho naomba nikuhakikishie kwamba baada ya wiki moja, (jumamosi ijayo) nitaleta kwaajili ya windows na baada ya hapo nitawatazama watumiaji wa apple
Wa Blackberry usitusahau pia,nimejaribu ku download inakubali,but haifanyi kazi
 
Yaani hilo la kukosa Azam tv online limeninyima raha kabisaa, kungekuwa na uwezo wa kupata address za kuzipata ktk simu ningefurah mno. Kwa sasa wameacha online access ktk website yao ambayo tunapata kupitia pc. Halafu km sikuelewa, lile tangazo lao walilenga wenye cable..
 
Online wanapatikana lakini ni kwa chanel mbili tu,Azam two na Azam Sport HD
 
No Azam stations zote kuanzia Azam 1 mpaka hd nini shida?
 
Ok...Na nliona Tangazo Azam tv kwa wale watu wa Cable wanaonyesha Station za Azam Tv wako kinyume na sheria wakiambatanisha na Zawadi nono kwa mtu atakayewadokeza nahisi kama huku limehusika pia

Na usije kuta kuna mtu keshapata zawadi Nono hiyo kwa kutoa information
 
Azam sio local labda ni ya kigeni toka nchi ya zenj nahisi
 
Back
Top Bottom