njeeseka
JF-Expert Member
- Oct 19, 2012
- 1,374
- 985
Mimi nimejaribu kwa kutumia hiyo UCBROWSER lakini inagoma,labda kuna sehemu nakosea
Nenda ktk website yao www.mdcgate.com itakuonyesha hiyo app moja kwa moja download ...itakubali tu.
Mimi nimejaribu kwa kutumia hiyo UCBROWSER lakini inagoma,labda kuna sehemu nakosea