Bora uje tushare haya labda yatapungua mawazo kichwani ....
Am gud darling, vipi na wewe?uko poa?
Ndo mana nakupenda my cute cute...am gud my..worry out am cuming we can reasoning together as friend...
nadhani tutakapoongea basi tutasahau mawazo yooooote
kwanini ukasirikie maisha yako?...furahia maisha yako sababu wewe ni wewe na unaweza ukayaendesha wewe.....mengine usilazimishe just wait for the right time....
Hope utakuja kunioa mimi hahhahaah....kidding
Hiyo iliyopo hapo ni yangu halisi ndiyo maana hutaona imebadilishwa..Anza kuweka wewe basi
Waiting kujua location Huwezi jua naweza kukupa ofa
honolulu,hawaiiiiiiiiiiiiiiiiii.....
How about mombasa first halafu hawaii
Natamani iwe kama ilivyokuwa !!!
Ilikuwaje?
Natamani kusafiri to a location i will describe later.....
Natamani sana Yesu arudi