sungura1980 JF-Expert Member Joined May 20, 2013 Posts 1,909 Reaction score 1,225 May 30, 2014 #21 Mamndenyi unatamani kuamia UKAWA ila unaogopa kusema ! Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
chuma cha mjerumani JF-Expert Member Joined Dec 4, 2013 Posts 12,180 Reaction score 25,418 May 30, 2014 #22 natamani niwe natamani lakini siwezi kutamani tena. nilitamani mke wa askari magereza nikaishia kupata kichapo heavy.
natamani niwe natamani lakini siwezi kutamani tena. nilitamani mke wa askari magereza nikaishia kupata kichapo heavy.
Majigo JF-Expert Member Joined Feb 23, 2012 Posts 5,519 Reaction score 1,831 May 30, 2014 #23 chuma cha mjerumani said: natamani niwe natamani lakini siwezi kutamani tena. nilitamani mke wa askari magereza nikaishia kupata kichapo heavy. Click to expand... pole sana kiongozi uwe unaangalia pa kutamani
chuma cha mjerumani said: natamani niwe natamani lakini siwezi kutamani tena. nilitamani mke wa askari magereza nikaishia kupata kichapo heavy. Click to expand... pole sana kiongozi uwe unaangalia pa kutamani
badiebey JF-Expert Member Joined Nov 29, 2013 Posts 5,875 Reaction score 3,117 May 30, 2014 #24 Natamani kusafiri to a location i will describe later.....
Vaislay JF-Expert Member Joined Jun 26, 2011 Posts 4,532 Reaction score 1,840 May 30, 2014 #25 Majigo said: nataman kuoa ila sina hela ya posa sina raha kabisa kwa hili Click to expand... kwani ni lazima au inauharaka..subiri mpaka ukiwa nazo
Majigo said: nataman kuoa ila sina hela ya posa sina raha kabisa kwa hili Click to expand... kwani ni lazima au inauharaka..subiri mpaka ukiwa nazo
Majigo JF-Expert Member Joined Feb 23, 2012 Posts 5,519 Reaction score 1,831 May 30, 2014 #26 Vaislay said: kwani ni lazima au inauharaka..subiri mpaka ukiwa nazo Click to expand... eti! eeh! Ahsante sana mkuu hii hali inanitesa sana , nimekuwa mtu wa kukasirika mara kwa mara!
Vaislay said: kwani ni lazima au inauharaka..subiri mpaka ukiwa nazo Click to expand... eti! eeh! Ahsante sana mkuu hii hali inanitesa sana , nimekuwa mtu wa kukasirika mara kwa mara!
Polyxic JF-Expert Member Joined Mar 29, 2012 Posts 289 Reaction score 156 May 30, 2014 #27 Mm natamani umeme urudi kwanza.
The Boss JF-Expert Member Joined Aug 18, 2009 Posts 49,320 Reaction score 117,611 May 30, 2014 #28 badiebey said: Natamani kusafiri to a location i will describe later..... Click to expand... Waiting kujua location Huwezi jua naweza kukupa ofa
badiebey said: Natamani kusafiri to a location i will describe later..... Click to expand... Waiting kujua location Huwezi jua naweza kukupa ofa
Vaislay JF-Expert Member Joined Jun 26, 2011 Posts 4,532 Reaction score 1,840 May 30, 2014 #29 Majigo said: eti! eeh! Ahsante sana mkuu hii hali inanitesa sana , nimekuwa mtu wa kukasirika mara kwa mara! Click to expand... kwanini ukasirikie maisha yako?...furahia maisha yako sababu wewe ni wewe na unaweza ukayaendesha wewe.....mengine usilazimishe just wait for the right time.... Hope utakuja kunioa mimi hahhahaah....kidding
Majigo said: eti! eeh! Ahsante sana mkuu hii hali inanitesa sana , nimekuwa mtu wa kukasirika mara kwa mara! Click to expand... kwanini ukasirikie maisha yako?...furahia maisha yako sababu wewe ni wewe na unaweza ukayaendesha wewe.....mengine usilazimishe just wait for the right time.... Hope utakuja kunioa mimi hahhahaah....kidding
Vaislay JF-Expert Member Joined Jun 26, 2011 Posts 4,532 Reaction score 1,840 May 30, 2014 #30 Natamani mengi sana .....
ICHANA JF-Expert Member Joined May 10, 2012 Posts 4,765 Reaction score 3,596 May 30, 2014 #31 natamani sana nikakeshe kanisani siku nzima ya leo nikaongea na MUNGU muumba wangu
ICHANA JF-Expert Member Joined May 10, 2012 Posts 4,765 Reaction score 3,596 May 30, 2014 #32 Vaislay said: Natamani mengi sana ..... Click to expand... oooh we can share hayo mawazo as friends nije tushare wote umeamkeje lakin best
Vaislay said: Natamani mengi sana ..... Click to expand... oooh we can share hayo mawazo as friends nije tushare wote umeamkeje lakin best
grafani11 JF-Expert Member Joined May 24, 2011 Posts 15,441 Reaction score 5,820 May 30, 2014 #33 Mimi nakutamani wewe...
grafani11 JF-Expert Member Joined May 24, 2011 Posts 15,441 Reaction score 5,820 May 30, 2014 #34 Mimi natamani kila mwana JF akichangia picha yake halisi ionekane kwenye screen, nimechoka na hizi avatar za uongo...
Mimi natamani kila mwana JF akichangia picha yake halisi ionekane kwenye screen, nimechoka na hizi avatar za uongo...
Vaislay JF-Expert Member Joined Jun 26, 2011 Posts 4,532 Reaction score 1,840 May 30, 2014 #35 ICHANA said: oooh we can share hayo mawazo as friends nije tushare wote umeamkeje lakin best Click to expand... Bora uje tushare haya labda yatapungua mawazo kichwani .... Am gud darling, vipi na wewe?uko poa?
ICHANA said: oooh we can share hayo mawazo as friends nije tushare wote umeamkeje lakin best Click to expand... Bora uje tushare haya labda yatapungua mawazo kichwani .... Am gud darling, vipi na wewe?uko poa?
Vaislay JF-Expert Member Joined Jun 26, 2011 Posts 4,532 Reaction score 1,840 May 30, 2014 #36 grafani11 said: Mimi natamani kila mwana JF akichangia picha yake halisi ionekane kwenye screen, nimechoka na hizi avatar za uongo... Click to expand... Anza kuweka wewe basi
grafani11 said: Mimi natamani kila mwana JF akichangia picha yake halisi ionekane kwenye screen, nimechoka na hizi avatar za uongo... Click to expand... Anza kuweka wewe basi
kabanga JF-Expert Member Joined Dec 12, 2011 Posts 37,506 Reaction score 18,872 May 30, 2014 #37 natamani kulala....
Ennie JF-Expert Member Joined Jan 15, 2011 Posts 7,137 Reaction score 4,138 May 30, 2014 #38 Natamani iwe kama ilivyokuwa !!!
serio JF-Expert Member Joined Apr 15, 2011 Posts 7,354 Reaction score 4,760 May 30, 2014 #39 natamani nyeyere afufuke..
Ennie JF-Expert Member Joined Jan 15, 2011 Posts 7,137 Reaction score 4,138 May 30, 2014 #40 Vaislay said: Bora uje tushare haya labda yatapungua mawazo kichwani .... Am gud darling, vipi na wewe?uko poa? Click to expand... Natamani kujua hali yako twin sister asubuhi hii!
Vaislay said: Bora uje tushare haya labda yatapungua mawazo kichwani .... Am gud darling, vipi na wewe?uko poa? Click to expand... Natamani kujua hali yako twin sister asubuhi hii!