Natamani chaji kwenye BB yangu niende zangu jukwaa la siasa! Bahati mbaya umeme umekatika!
Natamani kesho inyeshe bonge la mvua, huku kwetu ni muda mrefu hatujapiga msele na mitumbwi kitaa

Mimi uck huu nataman nngekuwa na mwenza ili 2badilishane JOTO. . . . Je ww wataman nn uck huu. . . . . . .
Me natamani niote mbaya niruke...
Sent from my BlackBerry 9100 using JamiiForums