ndetichia
JF-Expert Member
- Mar 18, 2011
- 27,772
- 6,555
Natamani kufanyiwa masaji ya kichina
hee yamekuwa yale tena ya maseji afu ya kihou jintao..
Natamani kufanyiwa masaji ya kichina
si utakuwa kiwete weye sasa...kukata kiuno!
weee Wilbert1974!!wale wasanii tulio waona humu leo wasingekuwa wana sasambua namna hiyo!!!si utakuwa kiwete weye sasa...
natamani kufanyiwa masaji ya kichina
si utakuwa kiwete weye sasa...
uruke wapi we bishosti..
natamani MAPINDUZI
natamani turudi kama zamani... nisamehe,Natamani usingenikosea
Sent from my BlackBerry 9100 using JamiiForums
Natamani kuwa malaika
Natamani kuwa kama zamani
Natamani kuwa mtoto
natamani niwe na usingizi,lakini naona umegoma
natamani kupiga nyeto
Pole mamii
ila siri ni kuongeza fasta.
Sasa nini kinachokuzuia,kama sabuni huna usiku huu tumia hata mafuta ya kula,blue band,Lotion,au hata Vaseline kama ipo karibu huwa ni nzuri sana ila jihadhari usitumie Lotion yeyote yenye kemikali kesho ukaja kunitangazia vita hapa....