Natamani siku moja nile lunch na Maxence Melo

Habari wanajf..

Huwa namuona kama founder wetu kama kaka mwenye uthubutu na akili sana! Huwa nahisi yupo bright sana!(hata kwa kumuangalia tu)

Binafsi huwa napenda kukaa walau mara moja na vichwa kama hivi!

Nakuomba sana sana mkuu wangu, boss wangu Maxence Melo siku nikipata nafasi ya kuja huko New York ya Dar natamani mnoo nikutafute mchana kweupe tule pamoja chakula cha mchana niwakilishe wanaJF wa mikoani. Nipo makini na nikiongeacho!

Si mbaya tukaandamana na mwanaJF kindaki kindaki NAHUJA, Miss Natafuta na kichwa kimoja swissme !

Wako mnyenyekevu [HASHTAG]#mbitilicious[/HASHTAG] (naambiwa jina langu chachu).

HILI NI OMBI TU

Good Sun-day
Nani atalipa bills
 
Yameshakuwa haya tena MBITIYAZA? Basi nisamehe sana na nakuahidi kuanzia leo hutoona tena nakusumbua kwani nilidhani na Wewe unapenda ' Utani ' na ndiyo maana nikaamua tu Kukutania kama ambavyo siku zote nimekuwa nikikutania ila nashangaa kama siyo kusikitika leo unaniambia nakukera. Niwie radhi Mimi Mkuu na nimekoma!

unanisingizia mabomubomu..hv kichwa hiki kitumwe na mi ccm wanaanzaje?!nimejuta natamani ningeweza kufuta uzi
 
Hahaha mnamtafutia balaa mwenzenu, mkimpenda hivi polepole atamnunua kabla hamjamuona
 
Habari wanajf..

Huwa namuona kama founder wetu kama kaka mwenye uthubutu na akili sana! Huwa nahisi yupo bright sana!(hata kwa kumuangalia tu)

Binafsi huwa napenda kukaa walau mara moja na vichwa kama hivi!

Nakuomba sana sana mkuu wangu, boss wangu Maxence Melo siku nikipata nafasi ya kuja huko New York ya Dar natamani mnoo nikutafute mchana kweupe tule pamoja chakula cha mchana niwakilishe wanaJF wa mikoani. Nipo makini na nikiongeacho!

Si mbaya tukaandamana na mwanaJF kindaki kindaki NAHUJA, Miss Natafuta na kichwa kimoja swissme !

Wako mnyenyekevu [HASHTAG]#mbitilicious[/HASHTAG] (naambiwa jina langu chachu).

HILI NI OMBI TU

Good Sun-day

Naomba kuungana na wewe katika nafasi adhimu kama hii...
 
unanisingizia mabomubomu..hv kichwa hiki kitumwe na mi ccm wanaanzaje?!nimejuta natamani ningeweza kufuta uzi

Mpendwa wangu MBITIYAZA Wewe leo ni Mgeni wa GENTAMYCINE? Nimekuomba radhi kama nimekukwaza naona bado tu unanilaumu sasa unataka nikuombe radhi labda huku ' Mikende ' yangu yote ikiwa nje inapunga upepo wa Kusi labda ndiyo uweze Kunisamehe? Kwanini unakuwa na Kinyongo na hujui Kusamehe? Hata hivyo pamoja na yote haya Wewe tambua tu kuwa nakupenda kuliko unavyodhani halafu ukiona hadi ' Purely Talented, Charismatic Fella and a Game Changer ' anakukubali jua una bahati kubwa na hata Mbinguni pia umeshakubalika.
 
Unajua kuomba msamaha duh
 
Unajua kuomba msamaha duh

Ndivyo nilivyo na sitobadilika kwamba pale Mhusika akikwazika nami au hata tu Mimi mwenyewe nikiona nimemkosea Mtu humu au hata maishani mwangu basi hupenda haraka sana kama siyo upesi mno ' Kujirudi ' na kumuomba radhi / msamaha kwani napenda amani na siyo matatizo.
 
Barikiwa
 
Dinner ingekuwa bora zaidi, mtapata hata mvinyo kidogo ili kupooza koo. Halafu dinner yaweza kumkaribisha mgeni mwingine wa dinner ya usiku wa manane..teh!!
 
pepo mchafu akupae
 
Habari wanajf..

Huwa namuona kama founder wetu kama kaka mwenye uthubutu na akili sana! Huwa nahisi yupo bright sana!(hata kwa kumuangalia tu)

Binafsi huwa napenda kukaa walau mara moja na vichwa kama hivi!

Nakuomba sana sana mkuu wangu, boss wangu Maxence Melo siku nikipata nafasi ya kuja huko New York ya Dar natamani mnoo nikutafute mchana kweupe tule pamoja chakula cha mchana niwakilishe wanaJF wa mikoani. Nipo makini na nikiongeacho!

Si mbaya tukaandamana na mwanaJF kindaki kindaki NAHUJA, Miss Natafuta na kichwa kimoja swissme !

Wako mnyenyekevu [HASHTAG]#mbitilicious[/HASHTAG] (naambiwa jina langu chachu).

HILI NI OMBI TU

Good Sun-day
Ulipo haribu ni kualika vichwa maji wa kuambatana nao, shida yenu siyo moja mkisha shiba mtaanza kuomba namba mkumbuke jamaa kaoa tayari.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom