Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 11,361
- 23,297
We dada umeshikwa sana na genye.juzi juzi hapa kuna kaka ulikuwa unataka umpe kitumbua sababu kakupa dawa.leo unataka tena umpate maximelo... Hebu mwache huyu kamanda bwana tafuta mabwana wengine. Au ndo unataka upate nafasi ya kumteka kwa staili hii? Baada ya njia nyingine kushindikana. Jaribu kuolewa hayo yote yataisha maana sasa sijui baada ya hapo utamtaka nani. Watafute akina beira boy au hawa hawahongi?