Natamani siku moja nile lunch na Maxence Melo

Natamani siku moja nile lunch na Maxence Melo

Sina pepo wala shetani [emoji13], ukija Dar nitonye basi. Lunch for two, tena ningefurahi nikukaribishe kwenye 'kundi' letu tukasali[emoji13]


hhhhaaaaa shemasi hufai
 
Naomba tuu usije ukawa ni mtego wa watu wasiojulikana

Maana JF ni kichaka cha kila aina.

Pia ukilinganisha na zama hizi hapa utahitajika upembuzi yakinifu juu ya ombi lako kwake.
Tusijesikia tuu kwenye makutano yenu kijana wetu kapotelea kusiko julikna.

Ni
Mawazo yangu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom