Culture Me
JF-Expert Member
- May 24, 2017
- 10,494
- 21,453
Mom, why i'm not on your list?
come on, i wish to meet uncle Max too.
come on, i wish to meet uncle Max too.
hahahaaaHalafu wat next?
Acha utoto fanyakazi uokowe maisha yako
Mimi nitaomba nikilipie hicho chakula cha mchana,ukikamilisha hiyo ratiba ya kwenda New York ya DSM nitag ili nikupitishie hayo malipoHabari wanajf..
Huwa namuona kama founder wetu kama kaka mwenye uthubutu na akili sana! Huwa nahisi yupo bright sana!(hata kwa kumuangalia tu)
Binafsi huwa napenda kukaa walau mara moja na vichwa kama hivi!
Nakuomba sana sana mkuu wangu, boss wangu Maxence Melo siku nikipata nafasi ya kuja huko New York ya Dar natamani mnoo nikutafute mchana kweupe tule pamoja chakula cha mchana niwakilishe wanaJF wa mikoani. Nipo makini na nikiongeacho!
Si mbaya tukaandamana na mwanaJF kindaki kindaki NAHUJA, Miss Natafuta na kichwa kimoja swissme !
Wako mnyenyekevu [HASHTAG]#mbitilicious[/HASHTAG] (naambiwa jina langu chachu).
HILI NI OMBI TU
Good Sun-day
Mmeona mbinu ya kuteka na kupoteze imeshtukiwa sasa mnakuja na mbinu ya ''kutaka kula lunch'' na watu ili muwawekee sumu inayoua pole pole sio? Tena kwa hisia zangu inaonyesha kabisa mnakuwa mmeshaandaa hotel anayofanya kazi mtu wenu na ameshpewa maagizo vyakula vitakavyoagizwa ''avitayarisheje''. Au pengine Maxence sio target bali target ni hao member wengine uliosema waungane naye? Halafu unajifanya kuwa unatoka mikoani kama matapeli wa kuuza dhahabu zilizodondoshwa na wazungu!Habari wanajf..
Huwa namuona kama founder wetu kama kaka mwenye uthubutu na akili sana! Huwa nahisi yupo bright sana!(hata kwa kumuangalia tu)
Binafsi huwa napenda kukaa walau mara moja na vichwa kama hivi!
Nakuomba sana sana mkuu wangu, boss wangu Maxence Melo siku nikipata nafasi ya kuja huko New York ya Dar natamani mnoo nikutafute mchana kweupe tule pamoja chakula cha mchana niwakilishe wanaJF wa mikoani. Nipo makini na nikiongeacho!
Si mbaya tukaandamana na mwanaJF kindaki kindaki NAHUJA, Miss Natafuta na kichwa kimoja swissme !
Wako mnyenyekevu [HASHTAG]#mbitilicious[/HASHTAG] (naambiwa jina langu chachu).
HILI NI OMBI TU
Good Sun-day
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Sema nikupe no yake umuombe lunch mwenyewe
HahahahahaHapo ndio mwisho wa kufikiri?
Mello Mukyamo!Habari wanajf..
Huwa namuona kama founder wetu kama kaka mwenye uthubutu na akili sana! Huwa nahisi yupo bright sana!(hata kwa kumuangalia tu)
Binafsi huwa napenda kukaa walau mara moja na vichwa kama hivi!
Nakuomba sana sana mkuu wangu, boss wangu Maxence Melo siku nikipata nafasi ya kuja huko New York ya Dar natamani mnoo nikutafute mchana kweupe tule pamoja chakula cha mchana niwakilishe wanaJF wa mikoani. Nipo makini na nikiongeacho!
Si mbaya tukaandamana na mwanaJF kindaki kindaki NAHUJA, Miss Natafuta na kichwa kimoja swissme !
Wako mnyenyekevu [HASHTAG]#mbitilicious[/HASHTAG] (naambiwa jina langu chachu).
HILI NI OMBI TU
Good Sun-day
Mkuu umejitaidi kuwaza mbali saaana. Max ni mtu muhimu kwetu sisi but ni adui wa hawa WASHAMBA wasopenda kukosolewa so umakini kwake ni muhimu saana.Mmeona mbinu ya kuteka na kupoteze imeshtukiwa sasa mnakuja na mbinu ya ''kutaka kula lunch'' na watu ili muwawekee sumu inayoua pole pole sio? Tena kwa hisia zangu inaonyesha kabisa mnakuwa mmeshaandaa hotel anayofanya kazi mtu wenu na ameshpewa maagizo vyakula vitakavyoagizwa ''avitayarisheje''. Au pengine Maxence sio target bali target ni hao member wengine uliosema waungane naye? Halafu unajifanya kuwa unatoka mikoani kama matapeli wa kuuza dhahabu zilizodondoshwa na wazungu!
MKuu kuna watu wanaweza kuona ni utani au hisia zisizo na maana lakini hii nchi imeshafikia pabaya na usimwmini mtu yoyote! Kwenye Internet ogopa na ogopa sana wanawake wanaojilengesha!Mkuu umejitaidi kuwaza mbali saaana. Max ni mtu muhimu kwetu sisi but ni adui wa hawa WASHAMBA wasopenda kukosolewa so umakini kwake ni muhimu saana.
Hatutaki kumpoteza kizembe