Kweli huu mwaka mpya na mambo mapya... Mbiti ana matamanio mengi sana ambayo naamini mwaka huu atayatimiza tu. Kuna mtu ulikuwa unauliza namna ya kumshukuru ulisema alikusaidia daawa... Bila shaka umefuata ushauri wa kuhalalisha kumpa "shukrani" sasa zamu ya maximelo.... Sidhani kama atakosa muda wa kuja kula... Hata mimi ngepata tu.jinsi navyopenda kula... Anytime iwe asub,mchana ama usiku.atakula tu.
Huyu Maxence Melo Mungu ambariki na amlinde.Ni kichwa cha ukweli.
JF ni kimbilio pekee la wengi, mambo mengi sana yanajadiliwa humu. Tumepata maarifa mengi.
GOD BLESS JF
Mmeona mbinu ya kuteka na kupoteze imeshtukiwa sasa mnakuja na mbinu ya ''kutaka kula lunch'' na watu ili muwawekee sumu inayoua pole pole sio? Tena kwa hisia zangu inaonyesha kabisa mnakuwa mmeshaandaa hotel anayofanya kazi mtu wenu na ameshpewa maagizo vyakula vitakavyoagizwa ''avitayarisheje''. Au pengine Maxence sio target bali target ni hao member wengine uliosema waungane naye? Halafu unajifanya kuwa unatoka mikoani kama matapeli wa kuuza dhahabu zilizodondoshwa na wazungu!
Habari wanajf..
Huwa namuona kama founder wetu kama kaka mwenye uthubutu na akili sana! Huwa nahisi yupo bright sana!(hata kwa kumuangalia tu)
Binafsi huwa napenda kukaa walau mara moja na vichwa kama hivi!
Nakuomba sana sana mkuu wangu, boss wangu Maxence Melo siku nikipata nafasi ya kuja huko New York ya Dar natamani mnoo nikutafute mchana kweupe tule pamoja chakula cha mchana niwakilishe wanaJF wa mikoani. Nipo makini na nikiongeacho!
Si mbaya tukaandamana na mwanaJF kindaki kindaki NAHUJA, Miss Natafuta na kichwa kimoja swissme !
Wako mnyenyekevu [HASHTAG]#mbitilicious[/HASHTAG] (naambiwa jina langu chachu).
HILI NI OMBI TU
Good Sun-day
Ukija Dar unambie basi,tutapata hata yetu binafsi.hhahahaha mie hornet huwa nakupenda !maana akili zako dah!sijui nimekusahau vip!na waswas akaona wadada wengi..itabid tuongeze na men mmoja!
Achana nae huyo