Heaven on Earth
Platinum Member
- Mar 21, 2013
- 37,233
- 26,753
Kuwa muislam haimaanishi kumkana Yesu jamani jifunzeni kujua imani zingine ili muwe katika nafasi nzuri ya kutoa maoni.
Mie mkristo pure tena nmelelewa katk din kabsa mwenzang muslim hapo ndo kikwazo
"mwanamke hana dini" huu msemo una kaukweli kiasi chake..
Huu msemo ni kweli tupu sababu imeandikwa "mwanamke atawaacha wazazi wake na kumfuata mume"
Nawaza mengi apa,,mara naolewa mwaka mmoja anataka aoe mwngne din yake yaruhusu dini yangu nimeikana ntakuwa mgeni wa nani??
alie mkamilifu na awe wa kwanza kumpiga mawe huyu dada alieleta huu uzi.Hakuna alie mkamilifu bana
Huu msemo ni kweli tupu sababu imeandikwa "mwanamke atawaacha wazazi wake na kumfuata mume"
Unaonaje ukakubali uislam na kuitwa Khadija? Thn unaolewa unakua mke mwema sana na utapata kheri kubwa
Kama ukibadili dini utakuwa tayari pia kuwa na wake wenza kwa kuwa dini ya mmeo inaruhusu ndoa ya wake hadi wanne?
hahahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa mkuuu umenifanya nicheke kwa sauti. siyo kuwa hoja yako ni kituko hapana bali umetoa hoja nzito kwa kugha flani ya kuchkesha, kufikirisha na kuhuzunishaumeniudhi kwenye hiyo red! Kama baba yako ni tatizo kwako mgonge na gari la huyo mzinzi mwenziyo! toto hata adabu huna mfyuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu! Hata biblia halisomi hili!!
wanawake mna kazi huko. hii ndo dini nayo, nenda mdada nenda. mwite baba yako kuwa ni tatizo, mama pia na wote watakaokupinga.uko tayari kwa hili? umejiandaa?
[video=youtube_share;DWoXtTChZW4]http://youtu.be/DWoXtTChZW4[/video]
Sikweli,mwana mke ana dini na nilazima kusimamia imani yako
ila ukweli ndio huo, muulize muislam yoyote anae jua sharia za kiislam akujuze mkuu muslam hatakiwi kwenda msibani/kumzika mtu asie kuwa muislam, hata kama ni mzazi wako hauruhusiwi kwenda kwenye msiba wake ikiwa yeye amekufa akiwa mkristo!
Mwambie abadili aje kwa Jesus Chris kama hataki tupa kule!! USIJEJIDANGANYA KUBADILI DINI KISA MAPENZI!UTALIA BIBIE